Ubungo: Wanawake 36 wanaodai kukamatwa na kudhalilishwa kuwa "Dada Poa" kumfikisha mahakamani DC Hassan Bomboko na kumdai Fidia ya Tsh. Bilioni 36!

Tangu lini Wataalamu Tanzania wakasikilizwa na wanasiasa.
 
Wazinzi wote na washerati wote lazima wawasuppport wazinzi wenzao humu!! Hii nchi ngumu sana! Mafisadi na wala rushwa wanateteana na wanzinzi nao wanateteana humu sijui tukimbilie wapi!
 
vipi baada ya wao kufukuzwa kazi maisha yaki na Ndugu zako yamebadilika jwa kiasi gani?
 
Wakuu muelewe kosa alilofanya bwana Dc wa ubungo huko daslamu aliwafata wale wadada wakiwa lodge ,ambapo walilipa kabisa vyumba,

Hapo wanaweza kumgeuka kuwa wameingiliwa faragha yao na walikua wamepumzika tu na sio kujiuza , wangekutwa bara barani pia bado hakuna kesi ya kujiuza na ndio maana sana sana huwa wanapewa kesi ya uzururaji .
 
DC anajitapa ana Pesa nyingi sana basi alipe hizo B 36 kwani shida nini si alipe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…