macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hii ni safi sana. Na vyombo vya habari vilihusika ku-rekodi na kurusha vidaiwe fidia. Huwezi kusema mtu ni changudoa bila ushahidi. Unaingiaje nyumba ya kulala wageni kukamata watu? Hivi vi-DC uchwara vinatafuta namna ya kutoka vinajikuta vinafanya mambo ya ajabu kabisa.Madada poa wanamdai DC kwa kuwakamata madada poa ok legalize it then
Wanawake 36 wa Ubungo waliokamatwa na Mkuu wa wilaya hiyo wakidaiwa Kuwa ni makahaba na kuwekwa lupango siku 5 sasa watamfikisha mahakamani Mkuu huyo wa Wilaya
Wakili Madeleka amesema Wateja wake 36 watamdai Mkuu wa Wilaya ya Ubungo fidia ya TSH 36 billion Kwa kuwadhalilisha
Ameandika Wakili Msomi Madeleka ukurasani X
Hii June ina mambo Sana 😂
Pia soma
- Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba
Hivi unaelewa kweli kinachoendelea?Madada poa wanamdai DC kwa kuwakamata madada poa ok legalize it then
Wewe ni mjinga hujui sheria!Malaya na wenyewe wanaomba fidia 🤔 ya nini kwanza kwamba huyo mshamba amewatia hasara ya kiasi hicho 🤔 hebu waache upumbavu wao 😆😆
AskariMadada poa wanamdai DC kwa kuwakamata madada poa ok legalize it then
Utamueleza mh Jaji 😄Wale jinsi walivyo ni makahaba ,yaani wamevaa vichupi ,condom na KY jelly zimekutwa kwenye bed.
Utamueleza mh Jaji 😄
Una tatizo wewemachangudoa ni wakutokomezwa kwa namna yoyote
Hakuna cha sawasawahapo, amekosea kila sehemu kuanzia huko barabarani mpaka lodge.Kwa lodge alikosea sn lakini wa barabarani ni sawa
ShidaMkuu wa wilaya mjinga kabisa kuwahi kutokea,mahakamani kuna kesi za msingi zinahitaji kusikilizwa,wewe unakamata watu kwa jambo la kijinga ambalo linapelekea shida kwenye mahakama zetu...
Kwahizi ajira za ndio mzee, zombie tu ndio anaweza kuwa comfortable.Tehe tehe! Walifukuzwa kazi kama mbwa
Nilijua utaendelea kuweka hoja..!!ni ya mama yako
Mahakama zipi za kutoa haki dhidi ya watawala hapa bongo? Na hata wakitoa, hakuna utekelezaji utafanyika.Wanawake 36 wa Ubungo waliokamatwa na Mkuu wa wilaya hiyo wakidaiwa Kuwa ni makahaba na kuwekwa lupango siku 5 sasa watamfikisha mahakamani Mkuu huyo wa Wilaya
...