Ubungo: Wanawake 36 wanaodai kukamatwa na kudhalilishwa kuwa "Dada Poa" kumfikisha mahakamani DC Hassan Bomboko na kumdai Fidia ya Tsh. Bilioni 36!

Ubungo: Wanawake 36 wanaodai kukamatwa na kudhalilishwa kuwa "Dada Poa" kumfikisha mahakamani DC Hassan Bomboko na kumdai Fidia ya Tsh. Bilioni 36!

Madada poa wanamdai DC kwa kuwakamata madada poa ok legalize it then
Hii ni safi sana. Na vyombo vya habari vilihusika ku-rekodi na kurusha vidaiwe fidia. Huwezi kusema mtu ni changudoa bila ushahidi. Unaingiaje nyumba ya kulala wageni kukamata watu? Hivi vi-DC uchwara vinatafuta namna ya kutoka vinajikuta vinafanya mambo ya ajabu kabisa.
 
Wanawake 36 wa Ubungo waliokamatwa na Mkuu wa wilaya hiyo wakidaiwa Kuwa ni makahaba na kuwekwa lupango siku 5 sasa watamfikisha mahakamani Mkuu huyo wa Wilaya

Wakili Madeleka amesema Wateja wake 36 watamdai Mkuu wa Wilaya ya Ubungo fidia ya TSH 36 billion Kwa kuwadhalilisha

Ameandika Wakili Msomi Madeleka ukurasani X

Hii June ina mambo Sana 😂

Pia soma
- Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba

Wale jinsi walivyo ni makahaba ,yaani wamevaa vichupi ,condom na KY jelly zimekutwa kwenye bed.
 
Kwenye free judiciary, huyu DC ataipatapata, unfortunately hakuna jaji wa kutenda haki.
 
Madeleka mteja mzuri sana wa akina dada poa, hizi ni habari za ndani kabisa, na sioni dhambi kama watu wazima wanakubaliana
 
Demand Notice (Notisi ya madai)👇🏼
IMG_4131.jpeg
 
Course of action Ipo ila nature ya wateja wake hawezi kuwapata watasambaa na kesi kukosa umuhimu
 
Wanawake 36 wa Ubungo waliokamatwa na Mkuu wa wilaya hiyo wakidaiwa Kuwa ni makahaba na kuwekwa lupango siku 5 sasa watamfikisha mahakamani Mkuu huyo wa Wilaya
...
Mahakama zipi za kutoa haki dhidi ya watawala hapa bongo? Na hata wakitoa, hakuna utekelezaji utafanyika.
 
Back
Top Bottom