macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hii ni safi sana. Na vyombo vya habari vilihusika ku-rekodi na kurusha vidaiwe fidia. Huwezi kusema mtu ni changudoa bila ushahidi. Unaingiaje nyumba ya kulala wageni kukamata watu? Hivi vi-DC uchwara vinatafuta namna ya kutoka vinajikuta vinafanya mambo ya ajabu kabisa.Madada poa wanamdai DC kwa kuwakamata madada poa ok legalize it then