Ubunifu: Dunia ya upande wa pili

Sijapentaa 🙃
 
Binafsi sijaona kitu chochote cha kutisha kwenye hii mada. Naona tu sanaa nzuri za kiubunifu kwa kutumia maumbo ya kufikirika na wanyama mbalimbali.

Kinachoniudhi tu ni hii nadharia ya kwamba kila kitu kinachohisiwa kuwa kibaya kinapewa rangi nyeusi 😡
 
Kinachoniudhi tu ni hii nadharia ya kwamba kila kitu kinachohisiwa kuwa kibaya kinapewa rangi nyeusi 😡😂
Lakini hii rangi inawakilisha nguvu utawala na uwezo
 
Kinachoniudhi tu ni hii nadharia ya kwamba kila kitu kinachohisiwa kuwa kibaya kinapewa rangi nyeusi 😡😂
Lakini hii rangi inawakilisha nguvu utawala na uwezoView attachment 3258044
Mungu, malaika, nk vyote huonyeshwa vikiwa vyeupe ila inapokuja kwa shetani, majini nk ndio rangi nyeusi hutumika. Mbona hawatumii nyeusi kuonyesha nguvu, utawala na uwezo wa mungu?
 

Attachments

  • Screenshot_20250303-225852_Chrome.jpg
    340.3 KB · Views: 1
Katika miktadha mingi ya kufikirika na kidini, mazimwi (Dragons) katika Kuzimu mara nyingi huonyeshwa kama walinzi wenye nguvu, wa kutisha au hata watawala wa maeneo maalum, wakilinda mipaka ya Kuzimu, kuwatesa waliolaaniwa, na kutumika kama ishara ya uovu mbichi, uharibifu, ambao kimsingi hufanya kama uwakilishi wa kutisha wa ulimwengu wa kuzimu yenyewe; wajibu wao mkuu ni kuingiza hofu na mateso ndani ya nafsi zilizohukumiwa.
Sijaelewa kaka,

Hiyo ‘kazi’ ni ipi?
Yupo kuzimu ndio, ni mtumwa ndio, sasa kazi maaulum kwake ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…