Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Mkuu kama hutojali naomba nielekeze kinachokamuliwa nayatumia sana mafuta hayo lakini sijui yanatokana na nini.Ipo changamoto ya kuyapata mafuta ya nyonyo yasiyounguzwa katika moto na kuwa meusi. Jamaican black castor oil.
Katika kutafuta kupata mafuta halisi ya nyonyo natural yaliyokamuliwa na kuchujwa bila kuunguzwa ndio tukafikia hatua hii. Warm/cold presssed castor oil
Kimashine kinaweza kuundwa na vijana wachomelea vyuma popote pale.
Jitahidi kutumia vyuma imara visivyopinda. Changu kilipinda nikabadili hapo juu.
Nilishauriwa pia kutafuta bolt yenye thread pana ndizo hudumu.
Mengine utajiongezagaView attachment 2533486View attachment 2533852View attachment 2533851
Kinachokamuliwa Ni Mbegu Mfano Halisi Unavyoona Alizeti Ikitoa Mafuta Ama Mafuta Ya KarangaMkuu kama hutojali naomba nielekeze kinachokamuliwa nayatumia sana mafuta hayo lakini sijui yanatokana na nini.
Asante ngoja nitafute kujua vimbegu vinafananaje.Kinachokamuliwa Ni Mbegu Mfano Halisi Unavyoona Alizeti Ikitoa Mafuta Ama Mafuta Ya Karanga
Mbegu Kwa Nje Ina Ganda Gumu Jeusi Ndani Iko Kama Nazi UkiibanguaAsante ngoja nitafute kujua vimbegu vinafananaje.
Wapanda migomba kiasili wote wanajua hii mimeaAsante ngoja nitafute kujua vimbegu vinafananaje.
Vichupa vidogo vile vya mls 100-120 vinauzwa afu tano tano. Kwa jumla ni afutatuMafuta Ya Mbarika Hayo Unauzaje Kulingana Na Hayo Ninayoyaona Kwenye Picture
Asante tena nitashughulikia, nantumia sana mafuta hayo.Mbegu Kwa Nje Ina Ganda Gumu Jeusi Ndani Iko Kama Nazi Ukiibangua
Ipo Kama Mbegu Ya Mawese
Hiyo mashine si inaendeshwa kwa mkono, halichoshi kweli kama una mbegu nyingi. Na mechanism yake ni nini, unatwanga hama namna ganiIpo changamoto ya kuyapata mafuta ya nyonyo yasiyounguzwa katika moto na kuwa meusi. Jamaican black castor oil.
Katika kutafuta kupata mafuta halisi ya nyonyo natural yaliyokamuliwa na kuchujwa bila kuunguzwa ndio tukafikia hatua hii. Warm/cold presssed castor oil
Kimashine kinaweza kuundwa na vijana wachomelea vyuma popote pale.
Jitahidi kutumia vyuma imara visivyopinda. Changu kilipinda nikabadili hapo juu.
Nilishauriwa pia kutafuta bolt yenye thread pana ndizo hudumu.
Mengine utajiongezagaView attachment 2533486View attachment 2533852View attachment 2533851
Nadhani wameshaelekeza. Sema mimi hapo hiyo ni hatua ya pili ni zaidi kama kuchuja kuliko kukamua.Mkuu kama hutojali naomba nielekeze kinachokamuliwa nayatumia sana mafuta hayo lakini sijui yanatokana na nini.
Ilishakamuliwa na mashine nyingine. Hapo mchakato ni kutenganisha tu ile mash na mafuta menyewe sasa.Hiyo mashine si inaendeshwa kwa mkono, halichoshi kweli kama una mbegu nyingi. Na mechanism yake ni nini, unatwanga hama namna gani
Kweli, mafuta yanahitaji kuchujwa zaidi ya mara moja. Hata yale refined unakuta ni mara tatu ndio yanakuwa mazuriIlishakamuliwa na mashine nyingine. Hapo mchakato ni kutenganisha tu ile mash na mafuta menyewe sasa.
Wakati nnainunua mashine ya kwanza nilijidanganya kuwa ntapata mafuta directly. Sasa matokeo yake ikawa yanatoka kama ujiuji. Hadi uchuje tena sana.
Bado mchakato ni time ans energy consuming sana kwa kweli. Hii ni hatua tu.
Mafuta ya nyonyo, yana matumizi mengi ikiwamo.Mafuta hayo yanatumika kufanyia nn au yanafaida gan kwa mteja
Ni kazi, yaani nilijua simposimpo tu unanunua mashine, unapitisha mbegu unaswitch on, mafuta yanatoka huku makapi kulee kuumbe😳.Kweli, mafuta yanahitaji kuchujwa zaidi ya mara moja. Hata yale refined unakuta ni mara tatu ndio yanakuwa mazuri
Mkuu, hiyo mashine hapo pichani bei gani, na inapatikana wapi? Kama inawezekana unaweza ukaweka "specifications/features" zake?Nadhani wameshaelekeza. Sema mimi hapo hiyo ni hatua ya pili ni zaidi kama kuchuja kuliko kukamua.
Kukamua yalishakamuliwa na kimashine kingine. Screw press. Hii pichani
Hiyo iliagizwa China Alibaba zipo nyingi ngoja nikutafutie link uzione.Mkuu, hiyo mashine hapo pichani bei gani, na inapatikana wapi? Kama inawezekana unaweza ukaweka "specifications/features" zake?
Ahsante.