Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Ipo changamoto ya kuyapata mafuta ya nyonyo yasiyounguzwa katika moto na kuwa meusi. Jamaican black castor oil.
Katika kutafuta kupata mafuta halisi ya nyonyo natural yaliyokamuliwa na kuchujwa bila kuunguzwa ndio tukafikia hatua hii. Warm/cold presssed castor oil
Kimashine kinaweza kuundwa na vijana wachomelea vyuma popote pale.
Jitahidi kutumia vyuma imara visivyopinda. Changu kilipinda nikabadili hapo juu.
Nilishauriwa pia kutafuta bolt yenye thread pana ndizo hudumu.
Mengine utajiongezaga