Ubunifu, Kanasaidia uchujaji wa polepole mafuta ya nyonyo warm pressed castor oil

Uhakika Bro

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2022
Posts
3,644
Reaction score
4,315
Ipo changamoto ya kuyapata mafuta ya nyonyo yasiyounguzwa katika moto na kuwa meusi. Jamaican black castor oil.

Katika kutafuta kupata mafuta halisi ya nyonyo natural yaliyokamuliwa na kuchujwa bila kuunguzwa ndio tukafikia hatua hii. Warm/cold presssed castor oil

Kimashine kinaweza kuundwa na vijana wachomelea vyuma popote pale.

Jitahidi kutumia vyuma imara visivyopinda. Changu kilipinda nikabadili hapo juu.

Nilishauriwa pia kutafuta bolt yenye thread pana ndizo hudumu.

Mengine utajiongezaga
20230301_092510.jpg
20230301_092642.jpg
0734189022.JPG
 
Kinachokamuliwa ni majani au mbegu, au nyonyo ni mmea gani.Nitoe ushamba.
 
Ipo changamoto ya kuyapata mafuta ya nyonyo yasiyounguzwa katika moto na kuwa meusi. Jamaican black castor oil.

Katika kutafuta kupata mafuta halisi ya nyonyo natural yaliyokamuliwa na kuchujwa bila kuunguzwa ndio tukafikia hatua hii. Warm/cold presssed castor oil

Kimashine kinaweza kuundwa na vijana wachomelea vyuma popote pale.

Jitahidi kutumia vyuma imara visivyopinda. Changu kilipinda nikabadili hapo juu.

Nilishauriwa pia kutafuta bolt yenye thread pana ndizo hudumu.

Mengine utajiongezagaView attachment 2533486View attachment 2533852View attachment 2533851
Mkuu kama hutojali naomba nielekeze kinachokamuliwa nayatumia sana mafuta hayo lakini sijui yanatokana na nini.
 
Kinachokamuliwa Ni Mbegu Mfano Halisi Unavyoona Alizeti Ikitoa Mafuta Ama Mafuta Ya Karanga
 
Mafuta Ya Mbarika Hayo Unauzaje Kulingana Na Hayo Ninayoyaona Kwenye Picture
 
Vichupa vidogo vile vya mls 100-120 vinauzwa afu tano tano. Kwa jumla ni afutatu
Lita moja ni 25,000/=
 
Ipo changamoto ya kuyapata mafuta ya nyonyo yasiyounguzwa katika moto na kuwa meusi. Jamaican black castor oil.

Katika kutafuta kupata mafuta halisi ya nyonyo natural yaliyokamuliwa na kuchujwa bila kuunguzwa ndio tukafikia hatua hii. Warm/cold presssed castor oil

Kimashine kinaweza kuundwa na vijana wachomelea vyuma popote pale.

Jitahidi kutumia vyuma imara visivyopinda. Changu kilipinda nikabadili hapo juu.

Nilishauriwa pia kutafuta bolt yenye thread pana ndizo hudumu.

Mengine utajiongezagaView attachment 2533486View attachment 2533852View attachment 2533851
Hiyo mashine si inaendeshwa kwa mkono, halichoshi kweli kama una mbegu nyingi. Na mechanism yake ni nini, unatwanga hama namna gani
 
Mkuu kama hutojali naomba nielekeze kinachokamuliwa nayatumia sana mafuta hayo lakini sijui yanatokana na nini.
Nadhani wameshaelekeza. Sema mimi hapo hiyo ni hatua ya pili ni zaidi kama kuchuja kuliko kukamua.

Kukamua yalishakamuliwa na kimashine kingine. Screw press. Hii pichani
 
Attachments

  • Sahili R n D 0734189022.JPG
    Sahili R n D 0734189022.JPG
    54 KB · Views: 19
Hiyo mashine si inaendeshwa kwa mkono, halichoshi kweli kama una mbegu nyingi. Na mechanism yake ni nini, unatwanga hama namna gani
Ilishakamuliwa na mashine nyingine. Hapo mchakato ni kutenganisha tu ile mash na mafuta menyewe sasa.

Wakati nnainunua mashine ya kwanza nilijidanganya kuwa ntapata mafuta directly. Sasa matokeo yake ikawa yanatoka kama ujiuji. Hadi uchuje tena sana.

Bado mchakato ni time ans energy consuming sana kwa kweli. Hii ni hatua tu.
 
Kweli, mafuta yanahitaji kuchujwa zaidi ya mara moja. Hata yale refined unakuta ni mara tatu ndio yanakuwa mazuri
 
Mafuta hayo yanatumika kufanyia nn au yanafaida gan kwa mteja
 
Mafuta ya nyonyo, yana matumizi mengi ikiwamo.

Kuchua viungo - kitiba zaidi hasa haya meupe
Mazuri kwa ngozi, moisturizer, kusaidia kuondoa stretch marks na makovu.
Mazuri kwa nywele, kujaza na kuzipa afya nywele zenyewe na ngozi ya kichwa kwa kudhibiti masuala kama mba
Kusafisha tumbo - Yakinywewa huharishisha (😑sijui ndo kiswahili chake!)

Faida nyingine nyingi tu ukitafuta mtandaoni.

Mimi kuna mamoja nilichanganya na rosemary na mafuta ya mbegu za maboga ili kuondoa tishio la upara kwa wanaume. Nilipata matokeo yote matatu; No effect, yanasaidia na hayasaidii kwa watu tofauti tofauti. Yanaitwa Crysta 1 Hair starter. All in all ni mafuta mazuri kwa nywele. Yasome zaid hapa....
 
Kweli, mafuta yanahitaji kuchujwa zaidi ya mara moja. Hata yale refined unakuta ni mara tatu ndio yanakuwa mazuri
Ni kazi, yaani nilijua simposimpo tu unanunua mashine, unapitisha mbegu unaswitch on, mafuta yanatoka huku makapi kulee kuumbe😳.

Yanachujwa sana hadi upate bidhaa safi, na bado kuna vifine particle kidooogo vinakuja kusettle kwa gravity! Baaadae ukishapack
 
Nadhani wameshaelekeza. Sema mimi hapo hiyo ni hatua ya pili ni zaidi kama kuchuja kuliko kukamua.

Kukamua yalishakamuliwa na kimashine kingine. Screw press. Hii pichani
Mkuu, hiyo mashine hapo pichani bei gani, na inapatikana wapi? Kama inawezekana unaweza ukaweka "specifications/features" zake?
Ahsante.
 
Hivi mbegu za mbarika zinapatikana kweli. Unaweza agiza gunia ukapata
 
Mkuu, hiyo mashine hapo pichani bei gani, na inapatikana wapi? Kama inawezekana unaweza ukaweka "specifications/features" zake?
Ahsante.
Hiyo iliagizwa China Alibaba zipo nyingi ngoja nikutafutie link uzione.

Bei arround 2m usafiri around laki tatu sijui tano hadi kwangu!?

Lakini katika output per hour, inafaa kwa matumizi madogomadogo na kati (mfano debe, debe mbili) uwezo wake sio wa kuweka kituo cha kukamua mafuta ya alizeti kama yale makubwa. Haina chujio ni press tu.

Inatumia umeme wa nyumbani tu 220-250

Ntaupdate hii comment kwa alibaba link ya hiyo

Update : Wholesale Small Scale Automatic Cold Press Peanut Sesame Flaxseed Amaranth Seeds Oil Pressing Machine From m.alibaba.com
 
Back
Top Bottom