Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ni ubunifu nzuri rahisi na wa aina yake wenye faida nzuri sana.. Ya an I bunda moja la vibiriti 12 la shilingi 500 linaweza kukupa faida mpaka ya laki kutokana na ubunifu utaofanya
Tatizo la huu ubunifu ni moja tuu.. MOTO.. Weka mbali kabisa na moto kwakuwa kosa moja la mwali wa moto linaweza kuleta madhara makubwa sana
Tatizo la huu ubunifu ni moja tuu.. MOTO.. Weka mbali kabisa na moto kwakuwa kosa moja la mwali wa moto linaweza kuleta madhara makubwa sana