Ubunifu njiti za kiberiti/kibiriti

Ubunifu njiti za kiberiti/kibiriti

Ni ubunifu nzuri rahisi na wa aina yake wenye faida nzuri sana.. Ya an I bunda moja la vibiriti 12 la shilingi 500 linaweza kukupa faida mpaka ya laki kutokana na ubunifu utaofanya
Tatizo la huu ubunifu ni moja tuu.. MOTO.. Weka mbali kabisa na moto kwakuwa kosa moja la mwali wa moto linaweza kuleta madhara makubwa sanaView attachment 3234947
Sentensi zako mbili za mwanzo zimekaa ki-inspirational speaker kabisaaa..!!! Yaani wale wanaosemaga, NIMEANZA BIASHARA YA MCHELE KWA PUNJE MOJA, LEO NAMILIKI MAGUNIA ELFU MOJA..!!
 
1740858050199.jpg
 
Sentensi zako mbili za mwanzo zimekaa ki-inspirational speaker kabisaaa..!!! Yaani wale wanaosemaga, NIMEANZA BIASHARA YA MCHELE KWA PUNJE MOJA, LEO NAMILIKI MAGUNIA ELFU MOJA..!!
😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom