Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
nimependa wamejua kuwaza nje yaboxMitaala yao ni kwa ajili ya kutumia akili kufanya ugunduzi na si kuajiriwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimependa wamejua kuwaza nje yaboxMitaala yao ni kwa ajili ya kutumia akili kufanya ugunduzi na si kuajiriwa
mbona kaa sio njiti zakiberiti?Hivi vina afadhali kidogo maana vimeondolewa barutiView attachment 3234966
Sasa Mshana Jr kama hapa faida yake nini
ningekaribishwa nikakuta hii akili isingetulia had niwashe kiberiti nione vile moto unawaka.Hili ni bomu..urembo huu weka mbali kabisa na motoView attachment 3234970
imenihamasisha kukiwashaMungu wangu😂😂😂😂
Ahsante nimeelewaHivi vitu ni ubunifu na urembo vyenye ajira na kipato.. Vinasaidia sana kushughulisha akili huku ukipata chochote..
Weka mbali na moto
Ni nzuri itawasaidia vijana kujikeep busy ,pia kushiriki hata katika majukwaa makubwa na kujikuta mtu anapatq deal ya maanaTukiamua kama taifa tukawekeza kwenye vitu vidogovidogo kama hivi. Tutasolve kwa sehemu kubwa sana ishu ya ajira na kipato kwa vijana wetu