Ubunifu njiti za kiberiti/kibiriti

Ubunifu njiti za kiberiti/kibiriti

Ni ubunifu nzuri rahisi na wa aina yake wenye faida nzuri sana.. Ya an I bunda moja la vibiriti 12 la shilingi 500 linaweza kukupa faida mpaka ya laki kutokana na ubunifu utaofanya
Tatizo la huu ubunifu ni moja tuu.. MOTO.. Weka mbali kabisa na moto kwakuwa kosa moja la mwali wa moto linaweza kuleta madhara makubwa sanaView attachment 3234947
Interesting
 
Vijiti vingine
1740767309113.jpg
 
Back
Top Bottom