Ubunifu wa Picha na Videos kwa AI: Shiriki na Tazama Kazi za Kisanii za Akili Bandia!

Vipi unaweza kutengeneza na video kupitia hicho kidudu
 
Mkuuu kwa njia ya simu naweza kutengeneza na labda na gharam site yakutengeneza nimejalibu dall -3 hila nimehishia ku login basi unaweza nisadiya malifa njinsi ya kutengenez
Anza na chatgpt kwa kuipa task ndogo ndogo kama kuimbaia "tengeneza picha ya nyumba" au "chora picha ya ........." we ni kuipa maelezo au idea uliyonayo kichwani, make sure hakuna error kwenye uandishi halafu submit, ukiweza jaribu tena na tena baada ya hapo hamia sasa kwenye hizo DAll.E utakuwa na idea zaidi... au ingia youtube ujifunze zaidi ni simple tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…