Huyo baba ana vidole sita na hili tatizo la vidole kuzidi idadi naliona kwenye picha nyingi zilizozalishwa kwa AI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo baba ana vidole sita na hili tatizo la vidole kuzidi idadi naliona kwenye picha nyingi zilizozalishwa kwa AI
Jamaa haijui AI vizuri..
Vipi unaweza kutengeneza na video kupitia hicho kiduduHiyo ni collection ya data ambazo tayari zipo mtandaoni Mkuu. Wanazivuta kutoka facebook, Insta, Tiktok na mitandao mingine.
Mfano rahisi ni labda kwako wanachukua sikio, kwangu pua, kwa mwingine macho, kule mikono na kwenye nguo wanachukua labda kwenye insta ya vunjabei. Yaani ndio vitu kama ivyo.
AI inakusanya tu taarifa na kuzitengeneza kuwa vile unataka ila sio kwamba inatoa kitu kiipya kabisa huku duniani, hapana AI haibuni ila inatumia data zilizopo tayari
Ndio inawezekana, mfano ni hii hapa.Vipi unaweza kutengeneza na video kupitia hicho kidudu
Kufikisha ujumbe , kuelimisha, kuburudisha etlAya sasa ina faida gani
Kufikisha ujumbe , kuelimisha, kuburudisha etl
Mfano hai: kwenye video hii nimetoa elimu kuhusu magonjwa, ugonjwa wa kansa etl
View: https://www.youtube.com/shorts/NT-38DEtFws
---
Daily hints;
View: https://www.youtube.com/shorts/6cQAC_GkFfs
--
View attachment 3237072
--
View: https://www.youtube.com/shorts/2E9Ud32m8SU
Maokoto baada ya kukidhi vigezo vya monetization.Ukishafikisha ujumbe,kuelimisha na kuburudisha unapata faida gani
Ni youtube amaMaokoto baada ya kukidhi vigezo vya monetization.
View attachment 3237080
- Nimetimiza kigezo cha kwanza 1K subs
- Bado kigezo cha pili watch hour.
Platform zote, Youtube, TikTok, Insta zina hizo monitization program,Ni youtube ama
Anaingiza kipato..Ukishafikisha ujumbe,kuelimisha na kuburudisha unapata faida gani
Ila ni ngumu sanaPlatform zote, Youtube, TikTok, Insta zina hizo monitization program,
Hivyo content creation ni moja kati ya kazi.
OkAnaingiza kipato..
Anza na chatgpt kwa kuipa task ndogo ndogo kama kuimbaia "tengeneza picha ya nyumba" au "chora picha ya ........." we ni kuipa maelezo au idea uliyonayo kichwani, make sure hakuna error kwenye uandishi halafu submit, ukiweza jaribu tena na tena baada ya hapo hamia sasa kwenye hizo DAll.E utakuwa na idea zaidi... au ingia youtube ujifunze zaidi ni simple tu..Mkuuu kwa njia ya simu naweza kutengeneza na labda na gharam site yakutengeneza nimejalibu dall -3 hila nimehishia ku login basi unaweza nisadiya malifa njinsi ya kutengenez
Kama mdomo wa Azizi k
Tatizo la AI ni background, haikupi sana shida kujua ni AI image
Mwendo umeumaliza...!!Inasaidia nini katika maisha ya kila siku?