Ubunifu wa Picha na Videos kwa AI: Shiriki na Tazama Kazi za Kisanii za Akili Bandia!

Ubunifu wa Picha na Videos kwa AI: Shiriki na Tazama Kazi za Kisanii za Akili Bandia!

FB_IMG_1739376912609.jpg
 
Hiyo ni collection ya data ambazo tayari zipo mtandaoni Mkuu. Wanazivuta kutoka facebook, Insta, Tiktok na mitandao mingine.

Mfano rahisi ni labda kwako wanachukua sikio, kwangu pua, kwa mwingine macho, kule mikono na kwenye nguo wanachukua labda kwenye insta ya vunjabei. Yaani ndio vitu kama ivyo.

AI inakusanya tu taarifa na kuzitengeneza kuwa vile unataka ila sio kwamba inatoa kitu kiipya kabisa huku duniani, hapana AI haibuni ila inatumia data zilizopo tayari
Vipi unaweza kutengeneza na video kupitia hicho kidudu
 
Mkuuu kwa njia ya simu naweza kutengeneza na labda na gharam site yakutengeneza nimejalibu dall -3 hila nimehishia ku login basi unaweza nisadiya malifa njinsi ya kutengenez
Anza na chatgpt kwa kuipa task ndogo ndogo kama kuimbaia "tengeneza picha ya nyumba" au "chora picha ya ........." we ni kuipa maelezo au idea uliyonayo kichwani, make sure hakuna error kwenye uandishi halafu submit, ukiweza jaribu tena na tena baada ya hapo hamia sasa kwenye hizo DAll.E utakuwa na idea zaidi... au ingia youtube ujifunze zaidi ni simple tu..
 
Back
Top Bottom