Ubutu wa Primera Liga waanza kuthibitika

Wanakamia tu hao, wewe huoni walikuwa wanacheza kwa kujilinda zaidi na kupiga counter atack? Haitaji degree kuona nani aikuwa dhaifu na tena akiwa kwao.

View attachment 483940
Mpira tactics mkuu. we umeona timu zote duniani zinacheza formation 1? si kila timu na formation yake? sasa izo counter attack ndio strategy yao basi, chenga tawala, watu wanarusha moja kitu ndani, mwisho wa siku what matter is who won the match and not who played a beautiful game!

Halafu hio ni proof kwamba leceister waliweza kudhibiti lango lao, Sevilla walishindwa, sasa faida yake nini kuwa na possession ya 90% au hata 99.9?
 
Hii ligi ya wahindi kwanza timu zenye mashabiki wengi ni mbili tu zingine zilizobaki zinashabikiwa hasa na wananchi wa vitingoji vyao.

Sasa hii tu ni ushiadi unaonyesha laliga ni ligi isiyokuwa na mvuto wowote.
 
EPL & VPL ni ligi ya hovyo kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka!
 
LA liga ni bora mda wote
Nani kasema!?

Uliona walichofanyiwa Jana mabingwa wenu wa laliga!!? Na leo tena nakukaribisha ushuudie atakachofanyiwa muongoza ligi pale arianz arena.
 
 

Farmers league
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…