Ubutu wa Primera Liga waanza kuthibitika

Madrid amekuwa kileleni kwa mda mrefu,msim huu kuflop ni kitu cha kawaida,EPL Tim zao kuingia fainal ni msim mzuri tu,lkn LA liga inabaki kuwa bora
una roho ngumu sana !
 
Ndani ya miaka 10,Tim za EPL na la liga nani kachukua uefa Mara nyingi?,hapo ndipo tuanzie huo ubutu unaousema bro,balloon dor inatoka pia,
 
soma tena uelewe , wakati si milele
 
Ndani ya miaka 10,Tim za EPL na la liga nani kachukua uefa Mara nyingi?,hapo ndipo tuanzie huo ubutu unaousema bro,balloon dor inatoka pia,
Balloon d or inatolewa kibaguzi,kupendelea wachezaji wa timu za spain tu
 
Kwa muda mrefu sana wapenda soka wa dunia wamedanganywa kwamba ligi ya Spain ndio ligi bora na ngumu kuliko ligi zote duniani , hata pale sisi wataalam na wachambuzi wa soka tulipopinga , tena kwa mifano iliyofanyiwa utafiti , tuliishia kusimangwa .

Kipigo cha Barcelona kutoka kwa vibonde PSG ni ushahidi mwingine kwamba soka la spain si lolote , jambo pekee lililojificha ni kwamba , ligi ya spain ina mkusanyiko wa wachezaji wazuri wa dunia ambao kucheza kwao kwa muda kwenye ligi mbovu kumedumaza uwezo wao.

Mifano ni mingi sana , ligi bora haiwezi kuwa na timu bora zisizozidi 5 tu kama siyo 3 , ligi bora ya dunia haiwezekani kuonekana bure bila malipo , ukiacha Tv duni kabisa duniani kama TBC , karibu Tv zingine zote zinaonyesha ligi ya Spain bure kabisa , Azam na Dstv Bomba ni mifano ya karibu .

Timu za Spain zitaendelea kuadhirika zaidi kuanzia sasa na kuvuliwa huo ufalme hewa waliovikwa .

....... Itaendelea ........

UPDATES
BARCELONA 2 - 8 BAYERN MUNIC
Bayern kashawaumbua tayari. Saiv wapo kimyaaaa

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Unaota wewe Fifa sio wajinga
Kufungwa ni matokeo ya mpira kwa kufungwa barcelona hata bayern wangewahiwa goli hata mbili au tatu za haraka lazima wangepoteana
Ni sawa na brazil kupigwa zile 7 na Germany
Nyie huyo bingwa wenu Liverpool mbona alishaachia ngazi kitambo Uefa?na kwenye ligi ameziacha timu kwa tofauti ya mipointi karibu 40 sasa ukipima hapo utaona hiyo nayo ni Ligi?
Pamoja na kupoteza barca inabaki kuwa barca na ubora wa la liga unabaki palebpale
 
huu uzi si wa juzi
 
Tatuzo linakuja kuwa mkoloni wetu ni mwingereza,tumejawa na propaganda kila kukicha,timu za la liga zimetawala kwa kipindi kirefu sana hasa uefa, kulko za epl,majuzi tu Madrid kachukue uefa Mara 3,hata huyo bayern alyempiga barc 8,hivyo nihitimishe tu kwa kusema mashabiki wengi wa EPL ni fungu la kukosa,Jana tu sevilla kaitoa mapeti man u
 
Haya maneno rafiki zangu wa epl hawapendi kuyasikia ila ndo ukweli
 
Halafu bado tu huyo mbilikimo angepewa Balon D' Amor mwaka huu kama mwaka jana pamoja na kutofanya lolote la maana kwa timu yake na timu ya taifa lake
 
Back
Top Bottom