Balon D' ni tuzo binafsi,uwezo wa mchazaji kufunga,Ku assist, dribbling, n.k, mi ni shabiki wa Madrid lkn messi bado namuona ni mchezaji bora kwa karne hiiHalafu bado tu huyo mbilikimo angepewa Balon D' Amor mwaka huu kama mwaka jana pamoja na kutofanya lolote la maana kwa timu yake na timu ya taifa lake
Kwa vigezo hivyo ulivyovitaja basi hapana shaka hiyo tuzo angestahili kupewa Adama TraoreBalon D' ni tuzo binafsi,uwezo wa mchazaji kufunga,Ku assist, dribbling, n.k, mi ni shabiki wa Madrid lkn messi bado namuona ni mchezaji bora kwa karne hii
Mpira huchezwa kweupe kila mmoja huona, Messi & Ronaldo wote si waspain ila uwezo wao hata takwimu uwanjani haukuwa na mashaka kwa kipindi kirefu, kwa nn useme kumekuwa na upendeleo!!!Balloon d or inatolewa kibaguzi,kupendelea wachezaji wa timu za spain tu
Kama ni kwa takwim tu basi mwaka jana angepewa Kevin DebruyneMpira huchezwa kweupe kila mmoja huona, Messi & Ronaldo wote si waspain ila uwezo wao hata takwimu uwanjani haukuwa na mashaka kwa kipindi kirefu, kwa nn useme kumekuwa na upendeleo!!!
ππππWamepigwa tena ....da!!!!
Chelsea 2 - 0 R MadridKwa muda mrefu sana wapenda soka wa dunia wamedanganywa kwamba ligi ya Spain ndio ligi bora na ngumu kuliko ligi zote duniani , hata pale sisi wataalam na wachambuzi wa soka tulipopinga , tena kwa mifano iliyofanyiwa utafiti , tuliishia kusimangwa .
Kipigo cha Barcelona kutoka kwa vibonde PSG ni ushahidi mwingine kwamba soka la spain si lolote , jambo pekee lililojificha ni kwamba , ligi ya spain ina mkusanyiko wa wachezaji wazuri wa dunia ambao kucheza kwao kwa muda kwenye ligi mbovu kumedumaza uwezo wao.
Mifano ni mingi sana , ligi bora haiwezi kuwa na timu bora zisizozidi 5 tu kama siyo 3 , ligi bora ya dunia haiwezekani kuonekana bure bila malipo , ukiacha Tv duni kabisa duniani kama TBC , karibu Tv zingine zote zinaonyesha ligi ya Spain bure kabisa , Azam na Dstv Bomba ni mifano ya karibu .
Timu za Spain zitaendelea kuadhirika zaidi kuanzia sasa na kuvuliwa huo ufalme hewa waliovikwa .
....... Itaendelea ........
UPDATES
BARCELONA 2 - 8 BAYERN MUNIC
OhoooooChelsea 2 - 0 R Madrid
Tuendelee na mjadala...
Barcelona ipi?Pamoja na yote Barcelona bado ina ubora wake, iliyumba kidogo kwa matatizo ya kiutawala
Swala la ligi ni jambo la muda tu
Epl haitokuja kua bora zaidi ya la liga
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Umesoma andiko lote na kuelewa ?Kwanini useme eti kwa muda mrefu dunia imekua ikidanganywa wakati ulikua unaona mwenyewe timu hizo ndio zilizokua zina washiriki wengi katika makombe yote ya ulaya na kuyanyanyua kuliko timu za ligi nyingine
Sasa hapo vipi inasema dunia imekua ikidanganywa?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
πππππππππ
Duh !!Pamoja na yote Barcelona bado ina ubora wake, iliyumba kidogo kwa matatizo ya kiutawala
Swala la ligi ni jambo la muda tu
Epl haitokuja kua bora zaidi ya la liga
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app