Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,561
Umesoma vyema nilichoandika?? Kwa kipindi chote ambacho ama Messi au Ronaldo walipokuwa wakichukua tuzo za uchezaji bora uwezo, takwimu na msaada wao kwa team zao ulikuwa ni dhahiri katika mashindano yote waliyoshirikiKama ni kwa takwim tu basi mwaka jana angepewa Kevin Debruyne
Kwani trophies za Champions League na Europa League nyingi zipo ligi gani? tuongeze na Ballon d'Or kama bonusNakaribisha maswali