Ubutu wa Primera Liga waanza kuthibitika

Ubutu wa Primera Liga waanza kuthibitika

Wakati R. Madrid anachukua Champions league mara tatu na Sevilla anachukua Europa back to back mlisema La liga haina mvuto.


Wakati huu La liga bingwa hajulikani wala timu inayoshuka daraja haijajulikana ( wakati E. P. L man city anasubiria game moja kutangazwa) na timu zake zimetoka uefa mnasema La liga dhaifu!!

Mbona hamueleweki??
 
Kama ni kwa takwim tu basi mwaka jana angepewa Kevin Debruyne
Umesoma vyema nilichoandika?? Kwa kipindi chote ambacho ama Messi au Ronaldo walipokuwa wakichukua tuzo za uchezaji bora uwezo, takwimu na msaada wao kwa team zao ulikuwa ni dhahiri katika mashindano yote waliyoshiriki
 
Back
Top Bottom