Ubuyu wa Diamond, Ruge na Kusaga

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo mwisho hapo!
Tatizo wa Tz hawamjui vizuri mange, Mange anapenda kuchagua upande kwenye kila vita.

Ukweli ni kwamba hapa Mange hampendi Diamond, Bashite Ruge wala kusaga, huu leo ni ugomvi wa maadui zake mange wote alichofanya yeye ni kuchagua upande, kaangalia mwenye unafuu ndo kaamua amsupport, katika hili kaamua kumtetea Ruge na kumfanya Victory, ana namna yake ya upondaji na usifiaji ambao lazima utajua yuko upande gani.

Amemfanya Ruge kuwa all that lakini kimsingi ni mtu mwenye akili ila sio yote anayaweza ,huwezi kusema Ruge kasababisha Diamond kufika hapo alipo huku ukisahau ni namna gani "Nassibu Abduli" amefanikisha "Diamond" kufika hapo alipo, kwa ujumla mengine siyajui ila mfanikio ya Diamond yanategemea wadau na Diamond mwenyewe. Kama hili si kweli basi THT ingetoa angalau kina Diamond wa tatu au wa tano since iko na The mastermind.
 
Niliwahi kumpasha ukweli Mange akaniblock! Mange is a coward, ni mwepesi kuliko unyoya.
Hana kifua cha kuhimili hoja nzito. Ni vile tu kajificha nyuma ya keyboard na kwenye nchi za watu.

anahimili nini sasa? we mpuuzi kweli, kwamba asiseme au? unajua anapata nini kwa kusema?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wambea hatuna muda wa kujiuliza hayo maswali mkuu, kiukweli mange anajikanyaga sana ukimsoma word by word.
 
Tena wa kujiangalia zaidi ni Mond................... maana hata Shigongo keshamualart kuhusu anguko lake. just stay turn na atakayemuangusha ni Aslay let us see
Mbona shigongo ameanguka bila alert ya mtu yeyote ye ni nani aalert wenzie? Na laiti mngejua kilichomfanya shigongo kuandika waraka mrefu ni maslahi binafsi! Mwambieni "kunywa maji mwanangu"
 
Kila mwaka wanampandisha msanii yoyote kushindana na dai ila mwisho wa siku wasanii wao wanaishia level za akina harmonize. Kwann aslay na sio ali kiba kama walivyokua wanampamba aiseee
Mbona shigongo ameanguka bila alert ya mtu yeyote ye ni nani kialert wenzie? Na laiti mngejua kilichomfanya shigongo kuandika waraka mrefu ni maslahi binafsi! Mwambieni "kunywa maji mwanangu"
 
Exactly,mange hana anayempenda Tanzania nzima wote anawachukia,huko marekan anaichukia familia ya mumewe,na umoja wa watanzania huko. Kila mtu anamuona mbaya kama kamsababishia anguko lake na simulizi zake za kuishi kitajiri.
 
Mkuu kiukweli mimi hizo habari zizielewagi kabisa, nimejaribu kufwatilia baadhi ya komenti sipati connection. Ndio maana nikaja kwenye comment yako tofauti!
Kweli, tupambane na hali zetu! Si Ruge wala Kusaga atakayekuja kutusaidia
 
Mkuu unatakiwa uwe na kipaji fulani ili kuweza "kuunganisha dots" yaani kiasi kwamba kitu kikisemwa unaclick tu faster, binafsi nilikuelewa faster tu, kwamba sio wewe uliyesema hivyo ila huo ni "usemi"
Safi sana mkuu
 
Mkuu sikuelewi naona unakana bandiko lako kiaina....
 
Ipo siku Tanzania itajua ukweli,but kwa sasa kinondoni na Siha achaneni na hii mada, malizeni hii wiki kwanza hususan uchaguzi wa tar 17 na yatakayotokea escape siku hiyo....hakuna aliye nyuma yenu tena Watanzania washahamishwa na siku nzima ya tar 18 watajadili ya escape kuliko yatakayotendeka majimboni kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…