binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo mwisho hapo!Kama mange alihusika na kuiandaa show ya diamond are forever ilikuwaje hakutajwa au kujisifia sifia kama kawaida yake?kwa pesa zipi?za maronyaronya au? Kwenye hio show diamond alimdhalilisha sana wema ila mbona mange hakuyafumua haya mambo?
So mmilik wa clouds hasa ni nani?inawezekanaje baba mwenye nyumba akaamua kujenga nyumba nyingine huko mbali na kuja kuwahamisha wapangaji(yamoto bend)mboso kupeleka nyumba yake nyingine ati anamkomoa mpangaji wa nyumba ya zaman ,how is this possible?
Kama ruge ndo aliyempandisha diamond mbona kashindwa mpandisha barnaba zaid ya diamond?vipi aslay keshatafutiwa collabo gan na wasanii wa nje?
Ili semekana zari alimuunganisha dai na akina p square mbona leo muongo anayageuka maneno yake. So ruge ndo aliyemuunganisha dai na boss wa belaire?
Kwenye video ya diamond karanga inaonekana jamaa raia wa kigen kama wamiliki sasa inakuwaje kusaga amiliki hiyo biashara kwa asilimia 100?
Kwann makonda kila siku lazima awekwe kama superman kwenye kila scene za ugomvi anaouingilia mange?
HIVI YA MOTOBAND ILIKUA YA BABU TALE AU MKUBWA FELLA?NYUMBA ZA AKINA ASLAY INASEMEKANA MKUBWA FELLA KAWADHULUMU NA SIO BABU TALE. Soon itasemekana wanaume family ilikua chini ya ruge
Honesty kuna mtu anatakiwa apumzike kuingilia visivyomhusu
Tatizo wa Tz hawamjui vizuri mange, Mange anapenda kuchagua upande kwenye kila vita.
Ukweli ni kwamba hapa Mange hampendi Diamond, Bashite Ruge wala kusaga, huu leo ni ugomvi wa maadui zake mange wote alichofanya yeye ni kuchagua upande, kaangalia mwenye unafuu ndo kaamua amsupport, katika hili kaamua kumtetea Ruge na kumfanya Victory, ana namna yake ya upondaji na usifiaji ambao lazima utajua yuko upande gani.
Amemfanya Ruge kuwa all that lakini kimsingi ni mtu mwenye akili ila sio yote anayaweza ,huwezi kusema Ruge kasababisha Diamond kufika hapo alipo huku ukisahau ni namna gani "Nassibu Abduli" amefanikisha "Diamond" kufika hapo alipo, kwa ujumla mengine siyajui ila mfanikio ya Diamond yanategemea wadau na Diamond mwenyewe. Kama hili si kweli basi THT ingetoa angalau kina Diamond wa tatu au wa tano since iko na The mastermind.