Ubuyu wa Diamond, Ruge na Kusaga

Ubuyu wa Diamond, Ruge na Kusaga

Kama mange alihusika na kuiandaa show ya diamond are forever ilikuwaje hakutajwa au kujisifia sifia kama kawaida yake?kwa pesa zipi?za maronyaronya au? Kwenye hio show diamond alimdhalilisha sana wema ila mbona mange hakuyafumua haya mambo?

So mmilik wa clouds hasa ni nani?inawezekanaje baba mwenye nyumba akaamua kujenga nyumba nyingine huko mbali na kuja kuwahamisha wapangaji(yamoto bend)mboso kupeleka nyumba yake nyingine ati anamkomoa mpangaji wa nyumba ya zaman ,how is this possible?

Kama ruge ndo aliyempandisha diamond mbona kashindwa mpandisha barnaba zaid ya diamond?vipi aslay keshatafutiwa collabo gan na wasanii wa nje?

Ili semekana zari alimuunganisha dai na akina p square mbona leo muongo anayageuka maneno yake. So ruge ndo aliyemuunganisha dai na boss wa belaire?

Kwenye video ya diamond karanga inaonekana jamaa raia wa kigen kama wamiliki sasa inakuwaje kusaga amiliki hiyo biashara kwa asilimia 100?

Kwann makonda kila siku lazima awekwe kama superman kwenye kila scene za ugomvi anaouingilia mange?

HIVI YA MOTOBAND ILIKUA YA BABU TALE AU MKUBWA FELLA?NYUMBA ZA AKINA ASLAY INASEMEKANA MKUBWA FELLA KAWADHULUMU NA SIO BABU TALE. Soon itasemekana wanaume family ilikua chini ya ruge

Honesty kuna mtu anatakiwa apumzike kuingilia visivyomhusu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo mwisho hapo!
Tatizo wa Tz hawamjui vizuri mange, Mange anapenda kuchagua upande kwenye kila vita.

Ukweli ni kwamba hapa Mange hampendi Diamond, Bashite Ruge wala kusaga, huu leo ni ugomvi wa maadui zake mange wote alichofanya yeye ni kuchagua upande, kaangalia mwenye unafuu ndo kaamua amsupport, katika hili kaamua kumtetea Ruge na kumfanya Victory, ana namna yake ya upondaji na usifiaji ambao lazima utajua yuko upande gani.

Amemfanya Ruge kuwa all that lakini kimsingi ni mtu mwenye akili ila sio yote anayaweza ,huwezi kusema Ruge kasababisha Diamond kufika hapo alipo huku ukisahau ni namna gani "Nassibu Abduli" amefanikisha "Diamond" kufika hapo alipo, kwa ujumla mengine siyajui ila mfanikio ya Diamond yanategemea wadau na Diamond mwenyewe. Kama hili si kweli basi THT ingetoa angalau kina Diamond wa tatu au wa tano since iko na The mastermind.
 
Niliwahi kumpasha ukweli Mange akaniblock! Mange is a coward, ni mwepesi kuliko unyoya.
Hana kifua cha kuhimili hoja nzito. Ni vile tu kajificha nyuma ya keyboard na kwenye nchi za watu.

anahimili nini sasa? we mpuuzi kweli, kwamba asiseme au? unajua anapata nini kwa kusema?
 
Mange huwa anajikanganya sana, anakufanya msomaji kama mtoto mjinga tu.

Hili swali ukimuuliza insta anakublok.

Hivi inaingia akilini kweli umuachie mtu kituo chako ukaanzishe kingine? Umuachieje sasa umemuuzia au umekisusa? Hivi mange anaijua maana na thamani ya Goodwill kwenye biashara?

Kusaga hamna kitu injini ni ruge bila ruge hakuna clouds, na kusaga analijua hilo sasa hajiulizi hiyo wasafi tv na radio zitawezaje bila ruge? Si na zenyewe zitaanguka kama clouds bila ruge?

Hapohapo unasema clouds inaenda kufa sasa inaendaje kufa huku genius ruge yupo? Au u genius umepungua kidogo?

Hizi ni hadithi za paukwa pakawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wambea hatuna muda wa kujiuliza hayo maswali mkuu, kiukweli mange anajikanyaga sana ukimsoma word by word.
 
Tena wa kujiangalia zaidi ni Mond................... maana hata Shigongo keshamualart kuhusu anguko lake. just stay turn na atakayemuangusha ni Aslay let us see
Mbona shigongo ameanguka bila alert ya mtu yeyote ye ni nani aalert wenzie? Na laiti mngejua kilichomfanya shigongo kuandika waraka mrefu ni maslahi binafsi! Mwambieni "kunywa maji mwanangu"
 
Kila mwaka wanampandisha msanii yoyote kushindana na dai ila mwisho wa siku wasanii wao wanaishia level za akina harmonize. Kwann aslay na sio ali kiba kama walivyokua wanampamba aiseee
Mbona shigongo ameanguka bila alert ya mtu yeyote ye ni nani kialert wenzie? Na laiti mngejua kilichomfanya shigongo kuandika waraka mrefu ni maslahi binafsi! Mwambieni "kunywa maji mwanangu"
 
Exactly,mange hana anayempenda Tanzania nzima wote anawachukia,huko marekan anaichukia familia ya mumewe,na umoja wa watanzania huko. Kila mtu anamuona mbaya kama kamsababishia anguko lake na simulizi zake za kuishi kitajiri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo mwisho hapo!
Tatizo wa Tz hawamjui vizuri mange, Mange anapenda kuchagua upande kwenye kila vita.

Ukweli ni kwamba hapa Mange hampendi Diamond, Bashite Ruge wala kusaga, huu leo ni ugomvi wa maadui zake mange wote alichofanya yeye ni kuchagua upande, kaangalia mwenye unafuu ndo kaamua amsupport, katika hili kaamua kumtetea Ruge na kumfanya Victory, ana namna yake ya upondaji na usifiaji ambao lazima utajua yuko upande gani.

Amemfanya Ruge kuwa all that lakini kimsingi ni mtu mwenye akili ila sio yote anayaweza ,huwezi kusema Ruge kasababisha Diamond kufika hapo alipo huku ukisahau ni namna gani "Nassibu Abduli" amefanikisha "Diamond" kufika hapo alipo, kwa ujumla mengine siyajui ila mfanikio ya Diamond yanategemea wadau na Diamond mwenyewe. Kama hili si kweli basi THT ingetoa angalu kina Diamond wa tatu au wa tano since iko na The mastemind.
 
Mkuu kiukweli mimi hizo habari zizielewagi kabisa, nimejaribu kufwatilia baadhi ya komenti sipati connection. Ndio maana nikaja kwenye comment yako tofauti!
Kweli, tupambane na hali zetu! Si Ruge wala Kusaga atakayekuja kutusaidia
 
Mkuu unatakiwa uwe na kipaji fulani ili kuweza "kuunganisha dots" yaani kiasi kwamba kitu kikisemwa unaclick tu faster, binafsi nilikuelewa faster tu, kwamba sio wewe uliyesema hivyo ila huo ni "usemi"
Safi sana mkuu
 
Mie simkubali pia Mange, Ila Mange Ana sifa Moja kubwa !

Haoni aibu kumpa credit Adui yake kwa jambo ambalo Yule Adui anastahiki sifa

Mange kwny hiki Sakata anakiri kabisa kuwa Ruge Mutahaba Ana akili nyingi sana na huo ni ukweli Hata Kama Mtu anamchukia Ruge anapaswa kukiri Hilo
Mkuu sikuelewi naona unakana bandiko lako kiaina....
 
Ipo siku Tanzania itajua ukweli,but kwa sasa kinondoni na Siha achaneni na hii mada, malizeni hii wiki kwanza hususan uchaguzi wa tar 17 na yatakayotokea escape siku hiyo....hakuna aliye nyuma yenu tena Watanzania washahamishwa na siku nzima ya tar 18 watajadili ya escape kuliko yatakayotendeka majimboni kwenu
 
Back
Top Bottom