[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ufikiri wa akili namna hii haufai kwenye umbea...umbea unataka we umuamini tu wholeheartdly anaekupa umbea bila kuhoji wala ku judge.... Usitumie akili kubwa ku encrypt codes za umbea mkuu,ni matumizi mabaya ya rasilimali
Hata ingekua kiba ningeaminiUnaamini kwa sababu ni anti diamond
HAUWEZI KUSHIRIKI KUIBOMOA NYUMBA YAKO MWENYEWE.
Vinginevyo utakuwa na upungufu kichwani.
juhudi zote za miaka zaidi ya 10 na kitu kuipandisha radio yako.Leo ufanye mipango ya kuiangusha.?
NGUMU KIDOGO KUAMINI.
labda haujui KATI YA RUGE NA KUSAGA NI NANI CEO PALE CLOUDS.Kwani jengo la TANESCO Ubungo linabomolewa na nani?
toa hoja acha kutema denda hadharani....mvunja nchi ni mwananchi!
unabisha nini sasa?Toa HOJA!
Kwahiyo we huna dada? Neno Dada hujui maana yake?[emoji3]utata umekuja zaidi,,Pale aliposema Da Mange[emoji3]
Haswa wale msiowaheshimu dada zenu.Umeona ee, kiukweli kwa mwanaume yoyote lzm utata auone tuu,
Mkuu njoo na ushahidiHaswa wale msiowaheshimu dada zenu.
Sema dada, da ndio nini?Kwahiyo we huna dada? Neno Dada hujui maana yake?
Mbona mwandiko wako km unavuta mkuu! Pia tabia za kujihisi unajua ni za wavutaji piawewe ni jike dume pengine hujitambui kwa maandishi
Lile dada likipewa taarifa licopy na kupaste na ndiyo maana limewaharibia kazi watu huku limepost taarifa kuhusu lenyewe kutafutwa bila kuhide ID so ukiliuliza linakuwa halina point yoyote ya kukujibu linatumika kama media tuMange Kimambi hana uwezo wa kujibu hoja kabisa......... We jaribu kuhoji mambo ya msingi kwenye post zake utaona,Block itakuhusu
Yap! Hiyo inampa mtu uhuru wa kuchambua chanzo cha habari!Kumbe Da Mange kasema? Aisee Da Mange bana akisema anasema.
Diamond karanga ni mali ya kusaga aisee kuna clips inaonyesha kabisa nadhani hata tatu mzuka ni ya kusagaWanaomwamini huyu dada nahisi wana upungufu wa akili, eti diamond karanga ni ya Kusaga. Mwongo na mpotoshaji mkubwa, hiyo ni mali ya wahindi wa Smart wale wanaotengeneza chips snack
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] jamaniiDa Mange anawastresisha sana.
Kabisakumbe watanzania wengi hasa wa jamiiforums ni wepesi kupinga hoja bila hoja....Mange kamwaga anachokiamini kipingwe kwa hoja !unafiki wa watanzania walio wengi wanakataa hoja kwa matusi!
Wengi kweli wapumzike kuingilia yasituhusu[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kama mange alihusika na kuiandaa show ya diamond are forever ilikuwaje hakutajwa au kujisifia sifia kama kawaida yake?kwa pesa zipi?za maronyaronya au? Kwenye hio show diamond alimdhalilisha sana wema ila mbona mange hakuyafumua haya mambo?
So mmilik wa clouds hasa ni nani?inawezekanaje baba mwenye nyumba akaamua kujenga nyumba nyingine huko mbali na kuja kuwahamisha wapangaji(yamoto bend)mboso kupeleka nyumba yake nyingine ati anamkomoa mpangaji wa nyumba ya zaman ,how is this possible?
Kama ruge ndo aliyempandisha diamond mbona kashindwa mpandisha barnaba zaid ya diamond?vipi aslay keshatafutiwa collabo gan na wasanii wa nje?
Ili semekana zari alimuunganisha dai na akina p square mbona leo muongo anayageuka maneno yake. So ruge ndo aliyemuunganisha dai na boss wa belaire?
Kwenye video ya diamond karanga inaonekana jamaa raia wa kigen kama wamiliki sasa inakuwaje kusaga amiliki hiyo biashara kwa asilimia 100?
Kwann makonda kila siku lazima awekwe kama superman kwenye kila scene za ugomvi anaouingilia mange?
HIVI YA MOTOBAND ILIKUA YA BABU TALE AU MKUBWA FELLA?NYUMBA ZA AKINA ASLAY INASEMEKANA MKUBWA FELLA KAWADHULUMU NA SIO BABU TALE. Soon itasemekana wanaume family ilikua chini ya ruge
Honesty kuna mtu anatakiwa apumzike kuingilia visivyomhusu