Ubuyu wa J'Mosi 03/09/2016

Naomba mwenye utaalamu na IPAD anishauri Kuna mtu Anatakakuniuzia IPad 3 wifi + cellular, je hii ninzuri?

Ni nzuri Mkuu unatumia hiyo IPad sehemu yeyeto yenye Wifi Na Vilevile unaweza kutumia Kama simu(cellular).
 
Nimecheka sana khaaaa
 

Kweli ZAMARAD MJanja sio Kama shoga Faiza Ally, kanyea kambi sasa analia lia mitandaoni, Sugu wala hajali.
 
Humu ndani ni kama deep sea, unaogelea kwa uwezo wako na ufundi wako.
Hili la damu kuwa na tatizo likoje mkuu,inaamaana Zama nae kakubaliana au ni maneno ya watu kuwa damu si nzur?
 
Hili la damu kuwa na tatizo likoje mkuu,inaamaana Zama nae kakubaliana au ni maneno ya watu kuwa damu si nzur?
Mkuu kama wangekuwa wapya tungehoji, hawa wameshazaa, na wanashare kitanda, wanayoongea kwenye pillow talk ni wao wanayajua😛
 
Hope mleta uzi huu atakuwa anatoka mjengoni pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…