Ubuyu wa J'Mosi 03/09/2016

Ubuyu wa J'Mosi 03/09/2016

Naomba mwenye utaalamu na IPAD anishauri Kuna mtu Anatakakuniuzia IPad 3 wifi + cellular, je hii ninzuri?
 
Mkurugenzi wa Mawingu ameshaslimu, hii ni katika maandalizi ya ndoa kati yake na baby mother ambae ni mtangazaji wa kituo hicho. Chanzo cha habari hii ni waliohudhuria harusi ya Shamsa Ford jana.
wanaume wa dar mlikua mmemisiana eeeeh hahhaahhaha ayaaa sasa kazi kwenu
 
Mkurugenzi mwenye kusaga alibadili dini kumuowa mng'azija so labda kafata ushauri wa boss kubwa aaahaaaa
Niliinyaka hiyo lakini ilikwenda on a silence motion 😀😀
 
Back
Top Bottom