Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,683
Nyaraka haina hata tarahe?Heeee! Na wewe unamwini Magufuli? Jisomee hapo chini.
https://mof.go.tz/docs/news/STORY BENKI YA STANDARD CHARTED.pdf
View attachment 1587430
Ndiyo maana nimekuwekea link kabisa ili uifatilie kiundani wewe mwenyeye.Nyaraka haina hata tarahe?
Una umri ganHuu mradi Tanzania tumebebeshwa mzigo tusioujua,huu ni mradi wa Kagame ila tunamjengea kwa pesa zetu za ndani
Hahahaha eti zitanyang'anyana 😅😅😅😅😅Maswali kama hili yalipaswa kujibiwa kwenye hatua za mwanzo za feasibility study kabla ya ujenzi kuanza.
Sasa ni too late!
Zaidi ya hivyo reli zitakuwa mbili, meter gauge na sgr zikiwa sambamba. Maana yake itafika wakati zatanyan'ganyana mizigo na abiria!
Ndiyo maana ya "kupanga ni kuchagua". Hatukupanga, kwahiyo tulipofika hatuna uwezo wa "kuchagua".
Tenda ya ujenzi mpaka mwanza hujaona imetangazwa juzi?watu wangapi wanaenda Dodoma na mizigo ipi inaenda Dodoma🏃😂 Itafika kighoma naada ya miaka 20 maana Magu hata Moro tu haijafunguliwa
Sikuhiz mpandaji mkuu wa bombardier zito kabwehii sgr inajengwa first priority ni Congo rwanda burundi &Uganda kabanga nickel na ndo final destination ok kama italeta hasara it's ok!! tutaipanda sie maana ata kipindi ndege znanunuliwa mlisema pia watu hawata panda but nowadays mmejisahaulisha utunduwazi wenu...... mpanda kigoma dom li bombardier linajaza sa sembuse kitu cha umeme? masaa 9 mtu uko rock city?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Naona umeshajua gharama yake na kwamba watu hawata afford.Kijamii kivipi Hali watakomudu nauli yake ni wachache
Tenda ya ujenzi mpaka mwanza hujaona imetangazwa juzi?
P
Hii SGR itakuwa na faida ya kijamii zaidi kuliko kiuchumi.Kiuchumi tutarajie loss tu.
Unaongea kama mwendawazimu, hiyo miaka mi5 ni kuanzia lini?itapata hasara mpaka ifike Congo lakini sio leo Moro tu miaka 5 unafikiri congo itafika lini?
kenya tatizo si uchache wa abiria wala mizigoSwali:Kama Kenya yenye viwanda vingi kutuzidi, wanakuwa na uchache wa mizigo na kupelekea shirika lao kujiendesha kwa hasara,sisi wenye viwanda vichache ndio tutamudu kuendesha SGR yetu kwa
Ni kweli kabisa nakubali brother ila kwa ninavyofahamu kutakuwa na mchanganyiko wa Electric locomotives na diesel Electric locomotives. Lakini nina swali ukitazama nchi kama india wanatumia zaidi diesel electric locomotives kuliko hizi Electric locomotives, tukiangalia nchi kama USA makampuni makubwa ya usafirishaji kwa njia ya reli Kama SOUTHERN PACIFIC, BNSF, NOLFORK n.k wanatumia diesel electric locomotives na electrification imefanyika katika reli za mijini kwa ajili ya abiria. Rejea Sout h Africa, Australia n.k kwanini bado wanatumia diesel Electric locomotives zaidi kuliko Electric locomotives??Kwa kutumia umeme watakuwa wamepunguza gharama kwa kiasi kikubwa sana kwenye mafuta, kununua spare na service hasa ukizingatia injini za umeme hazina parts nyingi sana ukilinganisha na injini za diesel.
Mkuu sababu kubwa ni hizi.Ni kweli kabisa nakubali brother ila kwa ninavyofahamu kutakuwa na mchanganyiko wa Electric locomotives na diesel Electric locomotives. Lakini nina swali ukitazama nchi kama india wanatumia zaidi diesel electric locomotives kuliko hizi Electric locomotives, tukiangalia nchi kama USA makampuni makubwa ya usafirishaji kwa njia ya reli Kama SOUTHERN PACIFIC, BNSF, NOLFORK n.k wanatumia diesel electric locomotives na electrification imefanyika katika reli za mijini kwa ajili ya abiria. Rejea Sout h Africa, Australia n.k kwanini bado wanatumia diesel Electric locomotives zaidi kuliko Electric locomotives??
Jibu zuri, kwa kuongozea, Treni za Tanzani zitakuwa na uwezo wa kuhifadhi umeme kwa muda wa dakika 45 hivyo basi hata kama kukitokea hitilafu kwenye njia ya umeme bado kazi itaendelea hadi pale mambo yatskspo kaa sawa.Mkuu sababu kubwa ni hizi.
Electrification ni Teknolojia ya kisasa. Na hizo nchi waliwekeza kwenye reli zamani. Sasa kubadili mfumo kwenda kwenye umeme inakuwa changamoto sana. Ndio maana unaona wanatia Diesel. Hata hapa Tanzania hatukuibadilisha MGR iwe SGR na badala yake tukaja na SGR mpya kwa sababu kuweka mpya na kuboresha ya zamani gharama hazipishani sana. Hizo treni za mijini kwenye hizo nchi nyingi ni mpya zilizoletwa kutokana na kukua kwa miji na teknolojia ya electification of the line tayari ilikuwepo.
Sababu nyingine ni upatikanaji wa umeme wa kutosha kuendesha SGR. Baadhi ya nchi hazijafanya SGR ya umeme kutokana na kutokuwa na umeme wa uhakika kuendesha SGR.
Sababu nyingine ya kutumia treni zenye umeme na diesel kwa pamoja ninkwa sababu ya baadhi ya maeneo ya njia hayajawekewa umeme hasa maeneo ya kuingia kwenye baadhi ya station hivyo train inaweza kuingia hayo maeneo na kutoka kwa kutumia diesel.
Pia pale changamoto ya umeme kukatika au mifumo ya umeme kuharibika basi safari iweze kuendelea kwa kutumia diesel.
Sawa kabisa sikupingii. Lakini gharama pia ya transmission line unaizungumzia vipi? Maana wengi wao hicho kimewapa wakati mgumu.Mkuu sababu kubwa ni hizi.