Sijakataa nimepinga point yako ya mwanzoAlgeria inapambana sana kupata demokrasia mwaka 2019 jeshi ilibidi limuondoe madarakani Rais Abdelaziz Bouteflika baada ya maandamano makubwa ya raia ya muda mrefu kutokana na utawala wake mbovu, jeshi la Algeria mara kadhaa limuwaondoa marais wa Algeria wanapoboronga. Algeria ni taifa ambalo linajitafuta sana kidemokrasia na utawala bora.
Utawala bora ni nini ?Government of the people, by the people, for the people.
Then hujui kuhusu nchi za kiarabu, huwa nikisoma logic kama hizi ndio naona mnapata data zetu kwenye Vyombo vya habari vya hivyo ambavyo havina exposure.Pesa za hayo mataifa ni kwa ajili ya raia wake tu, sio hao vibarua na expatriates walioenda kufanya kazi kwa muda. Vibarua huko wanaishi maisha duni sana. Pia wahamiaji wa uarabuni wakifika nchi uarabuni hawalazimishi tamaduni zao kama waarabu wanavyolazimisha tamaduni zao kuzingatiwa wakiwa Ulaya au Marekani.
Mfano haijatokea wageni wakapigania pombe na kitimoto viuzwe kila kona uarabuni.
Nafikiri jamaa alimaanisha vibarua wanaofanya kwenye construction.Then hujui kuhusu nchi za kiarabu, huwa nikisoma logic kama hizi ndio naona mnapata data zetu kwenye Vyombo vya habari vya hivyo ambavyo havina exposure.
1. Hizo Nchi za kiarabu ni Kimbilio la Mamilionea wengi duniani.
-vita vya Urusi na Ukraine tumeona Mamilionea wa kirusi wakikimbilia Middle East toka Ulaya, Mpaka Telegram sasa hivi HQ ni Dubai hapo.
-Mamilionea wa India wana destination kubwa mbili Singapore na Dubai.
-UAE ndio nchi inaongoza Duniani kwa net gain ya millionaire na Saudi Arabia ni ya tano. So una Nchi mbili katika top 5 ya sehemu ambazo mabilionea/Milionea wanakimbilia Duniani halafu unakutana na mtu hana A wala B anakwambia migrants wa hizo nchi ni maskini.
2. Investments za Middle East zipo nyingi sana za wageni. Tofauti na watu wengi wasivyojua Dubai haina mafuta na wanategemea sana Investments za nje, na sio wao tu maeneo mengi ya middle East pia. Pitia tu hii link hapa angalia hao mabilionea na franchise zao, hawa ni wahindi pekee
![]()
Top 100 Indian Business Owners In The Arab World 2018
www.forbesmiddleeast.com
So si kweli kwamba hao migrant ni masikini.
Na hao migrant wameweza ku settle sababu ya hizo sheria, it's working ni living example unayo kwamba ukitumia hizo sheria basi unapata jamii ambayo imestaarabika na inayo include kila aina ya watu bila kuleta machafuko.
Nafahamu ila vibarua wana make percent ndogo compare na hizo investment za wageni. Mtu ambaye Amefika dubai anaweza kuwa shahidi wa hilo, ukifika msururu wa Maduka ya wahindi ama Wairan ni mkubwa mno. Wao wana maduka kushinda hao wazawa, bado investment kubwa Kubwa.Nafikiri jamaa alimaanisha vibarua wanaofanya kwenye construction.
Nakubaliana na wewe kwamba homogenous culture ina mchango mkubwa katika maendeleo ila pia kuna exceptions zake kama vile Pakistan, Afghanistan n.kPopulation ni factor, lakini sio as significant kuleta tofauti kubwa comparatively. Ili kupata picha kubwa ni vizuri tukienda kwenye fundamentals au misingi ya swala hili kuhusu maendeleo.
"Utawala bora" ni highly subjective statement in terms economics. A topic for another day.
Culture ni factor na contributor kubwa sana kwenye swala la maendeleo. Nchi nyingi zenye maendeleo makubwa ukiziangalia kwa umakini utagundua kwamba wana homogeneous culture. Yaani watu wenye asili moja kidini, kikabila na kitamaduni. Kitu kinachopelekea nchi husika kuwa wamoja wenye vision moja.
Afrika ina makabila zaidi ya 3000, yote yalikuwa yanajitegemea kitamaduni na kiuongozi ndani ya vijieneo vidogovidogo. Nchi zimekuja baada ya wale savages kukata maeneo kwa ajili ya exploitation, wakaishia kurundika makabila mengi tofauti kwenye eneo moja. Hivyo utofauti wetu ni moja ya hindrance au kikwazo kikubwa kuelekea kupata maendeleo au a proper national prosperity.
Kingine ni kwamba kitendo cha developed countries kuwa homogeneous culturally, for example Japan na China. Ilikuwa rahisi kwao kutengeneza kingdoms na empires au civilizationa zenye uongozi imara na proper leadership hierarchy tangu maelfu ya miaka nyuma. Maana yake wana uzoefu na experience ya maelfu au mamia ya miaka juu ya kuendesha, kuongoza na kukuza civilizations na the likes of countries.
Hata hizo nchi za kiarabu ulizozitaja, ukiondoa kuwa announced as official countries miaka 50 kadhaa nyuma kukizi vigezo vya Europeans. Zina historia ndefu za civilization dating hundreds of years prior.
Mfano:
Oman ni homogeneous country, hapo kabla ilijulikana kama the Oman Empire, oldest empire in the arab world.
Qatar ilikuwa ni known sheihkdom kwa mamia ya miaka.
UAE pia ilikuwa ni sheihkdom and maritime trading hubs kwa mamia ya miaka.
Kuwait ilikuwa ni trading city kwa mamia ya miaka.
Saudi Arabia ilijulikana kama Saudi state tangu 1700, influential enough to be considered an empire.
Tofauti na sisi ambao nchi zetu nyingi zimeanzishwa sio chini ya miaka 70 iliyopita, nyuma ya hapo hakuna historia yoyote na wala kulikuwa hakuna kitu kinaitwa nchi. Kuna wazee wana umri mkubwa kuliko hata Tanzania na asilimia 90 ya nchi za Afrika. Maana yake ni kwamba hichi kitu cha kuongoza, kuendesha na kukuza taifa ni kigeni kwetu. Hatuna experiences zozote. It's the first time. Miaka chini ya 100 kwa taifa ni michache sana, ni generation moja, ni bado virgin countries.
Kizuri ni kwamba hizi zote ni temporary hindrances with limited life span. Kadri muda unavyozidi kwenda ndipo hizi nchi zetu zitafikia viwango vinavyotakiwa as benefits of true civilization.
There's no need to run for the inevitable. We'll get there eventually.
Hawezi kukuelewa,akikuelewa niite dog nipo pale.Then hujui kuhusu nchi za kiarabu, huwa nikisoma logic kama hizi ndio naona mnapata data zetu kwenye Vyombo vya habari vya hivyo ambavyo havina exposure.
1. Hizo Nchi za kiarabu ni Kimbilio la Mamilionea wengi duniani.
-vita vya Urusi na Ukraine tumeona Mamilionea wa kirusi wakikimbilia Middle East toka Ulaya, Mpaka Telegram sasa hivi HQ ni Dubai hapo.
-Mamilionea wa India wana destination kubwa mbili Singapore na Dubai.
-UAE ndio nchi inaongoza Duniani kwa net gain ya millionaire na Saudi Arabia ni ya tano. So una Nchi mbili katika top 5 ya sehemu ambazo mabilionea/Milionea wanakimbilia Duniani halafu unakutana na mtu hana A wala B anakwambia migrants wa hizo nchi ni maskini.
2. Investments za Middle East zipo nyingi sana za wageni. Tofauti na watu wengi wasivyojua Dubai haina mafuta na wanategemea sana Investments za nje, na sio wao tu maeneo mengi ya middle East pia. Pitia tu hii link hapa angalia hao mabilionea na franchise zao, hawa ni wahindi pekee
![]()
Top 100 Indian Business Owners In The Arab World 2018
www.forbesmiddleeast.com
So si kweli kwamba hao migrant ni masikini.
Na hao migrant wameweza ku settle sababu ya hizo sheria, it's working ni living example unayo kwamba ukitumia hizo sheria basi unapata jamii ambayo imestaarabika na inayo include kila aina ya watu bila kuleta machafuko.
Hakika, waarabu hawajaanza leo kujiongoza, wana dini ya ambayo wanaongea lugha moja kwa mambo mengi.Population ni factor, lakini sio as significant kuleta tofauti kubwa comparatively. Ili kupata picha kubwa ni vizuri tukienda kwenye fundamentals au misingi ya swala hili kuhusu maendeleo.
"Utawala bora" ni highly subjective statement in terms economics. A topic for another day.
Culture ni factor na contributor kubwa sana kwenye swala la maendeleo. Nchi nyingi zenye maendeleo makubwa ukiziangalia kwa umakini utagundua kwamba wana homogeneous culture. Yaani watu wenye asili moja kidini, kikabila na kitamaduni. Kitu kinachopelekea nchi husika kuwa wamoja wenye vision moja.
Afrika ina makabila zaidi ya 3000, yote yalikuwa yanajitegemea kitamaduni na kiuongozi ndani ya vijieneo vidogovidogo. Nchi zimekuja baada ya wale savages kukata maeneo kwa ajili ya exploitation, wakaishia kurundika makabila mengi tofauti kwenye eneo moja. Hivyo utofauti wetu ni moja ya hindrance au kikwazo kikubwa kuelekea kupata maendeleo au a proper national prosperity.
Kingine ni kwamba kitendo cha developed countries kuwa homogeneous culturally, for example Japan na China. Ilikuwa rahisi kwao kutengeneza kingdoms na empires au civilizationa zenye uongozi imara na proper leadership hierarchy tangu maelfu ya miaka nyuma. Maana yake wana uzoefu na experience ya maelfu au mamia ya miaka juu ya kuendesha, kuongoza na kukuza civilizations na the likes of countries.
Hata hizo nchi za kiarabu ulizozitaja, ukiondoa kuwa announced as official countries miaka 50 kadhaa nyuma kukizi vigezo vya Europeans. Zina historia ndefu za civilization dating hundreds of years prior.
Mfano:
Oman ni homogeneous country, hapo kabla ilijulikana kama the Oman Empire, oldest empire in the arab world.
Qatar ilikuwa ni known sheihkdom kwa mamia ya miaka.
UAE pia ilikuwa ni sheihkdom and maritime trading hubs kwa mamia ya miaka.
Kuwait ilikuwa ni trading city kwa mamia ya miaka.
Saudi Arabia ilijulikana kama Saudi state tangu 1700, influential enough to be considered an empire.
Tofauti na sisi ambao nchi zetu nyingi zimeanzishwa sio chini ya miaka 70 iliyopita, nyuma ya hapo hakuna historia yoyote na wala kulikuwa hakuna kitu kinaitwa nchi. Kuna wazee wana umri mkubwa kuliko hata Tanzania na asilimia 90 ya nchi za Afrika. Maana yake ni kwamba hichi kitu cha kuongoza, kuendesha na kukuza taifa ni kigeni kwetu. Hatuna experiences zozote. It's the first time. Miaka chini ya 100 kwa taifa ni michache sana, ni generation moja, ni bado virgin countries.
Kizuri ni kwamba hizi zote ni temporary hindrances with limited life span. Kadri muda unavyozidi kwenda ndipo hizi nchi zetu zitafikia viwango vinavyotakiwa as benefits of true civilization.
There's no need to run for the inevitable. We'll get there eventually.
Hilo swali elekeza kwa ndgu zao katika imaniHuko Saudia hawaoi wake nne mbona population haikui
Wagalatia wa Bongo wanaoa mke mmoja ila wanazaa sana pia nje ya ndoa, ni kama bado ni polygamists.Kuhusu idadi yao ya watu I agree with you; ni kweli nchi za Kiarabu except Egypt zina idadi ndogo ya wenyeji comparing with black people countries. Siku 1 tulikua tumajadiriana issue ya uwingi wa watu Tanzania na kwa dini zao, muislam mmoja (it was fair discussion isio na mihemko ya kidini) alidai kwamba, theoretically waislamu ni wengi cause wanaruhusiwa kuona mke zaidi ya mmoja now based on assumptions kwamba kila mke atazaa watoto kadhaa then waislamu wanaweza kua wengi kuliko Wakristo. Tulijadiri sana kwa mifano kadhaa including Zanzibar kwamba birth rate ya kule ni ndogo sana kulinganisha na mikoa kama Kigoma, Mwanza, Shinyanga, Mara nk ambayo majority ni Wakristo na wana mke 1...., tulikubaliana kutokukubaliana, now data za nchi za Kiarabu zina prove kwamba birth rate haina uhusiano sana na umiliki wa idadi ya wanawake.
Uchache wa watu sio hoja,hoja ni utawala Bora, tumia rasilimali za, nchi kwa manufaa ya, wanna chill, mbona Rwanda, Burundi, zina,watu wachache na ni madudu matupu,, china Ina watu, bilioni+na, Ina maendeleo, TZ, Ina watu 60M, rasilimali, kibao, lakini wana nchi ni, mafukara, kiasi,kwamba zawadi, na nyenzo,pekee ya kuwahonga, ni, Baiskeli!Watu wengi wasiopenda demokrasia kila mara hupenda kutolea mifano ya nchi za uarabuni zenye raia wenye maisha bora sana kiuchumi pasipo kuwepo na utawala bora kwenye nchi zao. Watu wa haina hii hawazingatii mambo mawili kuhusu hizi nchi ambayo ni Utajiri mkubwa wa mafuta na gesi na idadi ndogo ya raia.
Kuhusu utajiri gesi na mafuta hili kila mtu analifahmu ila wengi hawajui kuwa hizi nchi zina idadi ndogo sana ya raia wake, chukulia mfano wa hizi nchi
Qatar-Laki 4
UAE- Milioni 1.3
Kuwait-Milioni 1.5
Oman-Milioni 3
Saudi Arabia-Milioni 19( Saudi Arabia ina ukubwa mara mbili na nusu ya Nigeria yenye raia milioni 230)
Hilo la kua na mpango wa kando bahati mbaya sio "Wagalatia" pekee yao, hata waislamu pia wanao bro. Same as Zanzibar, same as Mombasa. Kiumbe cha kiume hakijawahi kutosheka na idadi ya wanawake kinacho wamiliki so kama kuzaliana, wote tu, Christian and Islam could make more offspring, tupo kwenye jamii hi moja, tunaishi na kufanya kazi or biashara pamojaWagalatia wa Bongo wanaoa mke mmoja ila wanazaa sana pia nje ya ndoa, ni kama bado ni polygamists.