Uchafu uliokithiri kwa wanaume na wanawake - njooni turekebishane!

Binafsi two-three days baada ya kumaliza ndio naweza kukutana na mwanamke. Uzuri wengi wao wapo wazi sana siku hizi, anakuambia "nimemaliza period jana, so tukutane", huwa navusha siku kadhaa. Harufu ya hedhi inachukua mda kukata.
Hiyo smell ya uumbaji siipendi kabisa,I hate it to the limit
 
Namba 3 hapo mhimu ni usafi tu,yanaraha yake hayo πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†
 
Hiyo smell ya uumbaji siipendi kabisa,I hate it to the limit
Inahitaji mwanamke awe msafi sana, na vile ni kitu cha asili tuneumbiwa wala haina shida. Ndio maana mdada akija halafu hataki kujimwagia maji kabla, yaani anashangaza...ametembea, amepanda usafiri, ametoa jasho, hata kama alioga kabla ya kuondoka home, muhimu sana kujipiga maji kidogo kuweka mambo sawa.
 
Namba 3 hapo mhimu ni usafi tu,yanaraha yake hayo πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†
So yawe marefu kama msitu wa magwepande.
Kwamba, maku πŸ‘ yote imefunikwa, ukitaka kuiona unaanza kuyafunua mavoozy kwanza kuitafuta au? 🀣 🀣 🀣
 
Hii niilifanya mkoa wa rukwa kwenye mji unaitwa sumbawanga,miaka ya zqmani ya askofu msakila.Mungu amzishie mapumziko ya milele huyo dada
Duuuh, yani ushakula mlemavu wa miguu SUmbawanga πŸ˜‚
Safi sana πŸ™Œ
 
Hapa nakubaliana na wewe πŸ’―

Ila nililetaga uzi humu, wanaume wakasema kwamba sijui mtu akioga inapoa.
 
Binafsi two-three days baada ya kumaliza ndio naweza kukutana na mwanamke. Uzuri wengi wao wapo wazi sana siku hizi, anakuambia "nimemaliza period jana, so tukutane", huwa navusha siku kadhaa. Harufu ya hedhi inachukua mda kukata.
Mimi baada ya hedhi najishtukia sana, lazima nisubiri mpaka zile discharge za brown ziishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…