Uchafu uliokithiri kwa wanaume na wanawake - njooni turekebishane!

Safisha Kinywa Chako kwa Usafi na Heshima ya Wengine
Ni muhimu kuzingatia usafi wa kinywa. Wakati mwingine mtu anapokuzungumzisha, harufu inayotoka mdomoni mwake inaweza kukufanya uhisi kana kwamba ni gari la kubeba taka la Manispaa limepita karibu.

Usikubali kuwa chanzo cha hali hiyo.

Vidokezo vya Kudumisha Usafi wa Kinywa:
  • Piga mswaki angalau mara mbili kwa siku – asubuhi na kabla ya kulala.
  • Tumia dawa za meno zenye viambato asilia na ufanisi kama Aloe Vera ili kudhibiti harufu mbaya na kuimarisha afya ya fizi; hizi dawa zetu nyingi hazina uwezo mkubwa. Nunua hata dawa za gharama kama AloeVera za 15k tzs.
  • Safisha nafasi kati ya meno yako kwa kutumia nyuzi za meno (floss) zinazopatikana kwenye maduka ya dawa.
  • Ikiwa mnuko wa kinywa unajirudia haraka, tembea na tumia karafuu au dawa za kusukutua mdomo ili kudhibiti harufu kwa haraka.
Kumbuka: Usafi wa kinywa si kwa ajili yako tu, bali pia ni heshima kwa wale unaowasiliana nao kila siku.

Heshima ya mtu inaangaliwa kwa usafi wake wa kinywa na aina ya viatu anavyovaa!

N'yadikwa
 
Duuh..... muoshe shemeji kabla ya kwichikwichi mshauri muende bafuni.

Muoshe chini ya pumbu maana pakiachwa panaharufu kali saana na kuchamba atumie maji sio tissue tu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
In fact alitawaza,lakini bado kitu ilipita kwa pua zangu baada zoezi kwenda dakika nyingi ikapita whole smel,real,woooh,down to earth!!!
 
Asante sana kwa kuwakumbusha na kuwaelekeza namna ya kujisafisha.
Heshima ya mtu inaangaliwa kwa usafi wake wa kinywa na aina ya viatu anavyovaa!
Naomba utuelezee vizuri hapa kwenye aina ya viatu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…