Uchafu uliokithiri kwa wanaume na wanawake - njooni turekebishane!

Ukiona mwanaume wako anakuvaa mazima kabla ya wewe kujipiga maji ujue anakujua, anaujua usafi wako. Kuna wanawake hawana shida hata asipooga bado kitenesi kipo poa tu.
 
Asante sana kwa kuwakumbusha na kuwaelekeza namna ya kujisafisha.

Naomba utuelezee vizuri hapa kwenye aina ya viatu pia.
Aina ya viatu mtu anavyovaa huweza kutoa taswira ya hulka au mtazamo wake juu ya maisha.

Wanaovaa viatu vya michezo (sneakers) huonekana kuwa watu wa kisasa, wanaopenda uhuru na urahisi, huku viatu rasmi kama Oxford au stilettos vikionyesha mtu makini na anayejali heshima na hadhi.

Viatu vya ngozi vya kisasa kama buti huakisi mtu jasiri na mwenye msimamo, ilhali viatu vyenye rangi kali au mitindo ya kipekee huonyesha ubunifu na ujasiri wa kujieleza.

Sandals/makubazi au kandambili huashiria mtu mpenda amani, anayethamini urahisi zaidi ya mwonekano, lakini pia mtu wa ibada huku viatu vilivyochakaa soli imepinda au visivyoendana na mazingira vikieleza uzembe au mtazamo wa kipekee wa kupuuza mila na mitazamo ya jamii.

Ingawa si sheria, viatu ni alama ndogo inayoweza kufichua mengi kuhusu mtu fulani.

Kwa wadada vivyohivyo aina ya viatu huweza kumthaminisha!
 
Duuh..... muoshe shemeji kabla ya kwichikwichi mshauri muende bafuni.

Muoshe chini ya pumbu maana pakiachwa panaharufu kali saana na kuchamba atumie maji sio tissue tu.
Kuna mwanamme anaoshwa uko?
Atakuwa Mgonjwa
 
Huyu Binti wa zamani amekutana na mengi sana, ni legend.
 
Wapo baadhi ya Wanawake wanajali na kutunza miili yao ipasavyo

Kuna mmoja niliwahi date naye Mwaka 47, alikuwa anaifukiza udi kule Chini

Yaani muda wote inanukia tu

Isingekuwa kutajiwa mahari kubwa, huenda angekuwa Mke wa nne hakiyanani
Mahari walitaka utoe ng'ombe wangapi mkuu?
 
Mi nashauri wanawake wawe wanaoga mara mbili kwa siku.
Yaani asubuhi na jioni/ usiku.

Sasa unakuta kuna mwanamke anakata siku mbili hajagusa maji surely🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…