Mwanakwetuuu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2022
- 1,011
- 2,283
Wengi waliochukuliwa NI walimu watiifuuu wa ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaMkiambiwa andamana kushikiza katiba mpya mnaanza kusema atangulie Mbowe na familia yake wenye mabilion ndani!!. Haya pambaneni wenyewe...
Hata wa mbali nao wana changamoto.Wewe umewahi ona wapi msaili naye ni muhitaji wa hiyo nafasi uliyoomba pia huyo msaili ana ndugu jamaa au marafiki hawezi kukuweka ww chilinyinda aache kumuweka mwanae au ndugu yake .kuwapa mandate viongozi wa kata kuwa ndo waaproove waombaji ni kosa ambalo athari yake tumeiona waziwazi kwenye sensa hii.Kilichokuwa kinatakiwa wasaili ilitakiwa watoke mbali ili kuepusha mgongano wa kimaslahi
Ogopa sana kazi ambazo zinahusisha watendaji hawa wa vijiji,wala usihangaike..ni kujuana tu..wengine wameingiza mpaka wake na michepuko yao.Mimi ndio maana sikujisumbua kabisaaa. Mungu wangu alinijaalia kuyafahamu yajayo mapema na kwa taarifa yenu hata hizo pesa baada ya zoezi la sensa kuna watu watadhulumiwa.
Hiyo katiba itaweka namna yakuptikana makalani wa sensa?Mkiambiwa andamana kushikiza katiba mpya mnaanza kusema atangulie Mbowe na familia yake wenye mabilion ndani!!. Haya pambaneni wenyewe...
Hivi naomba kuuliza hivi hawa makarani wa sensa watalipwa shilingi ngapi? make naona vilioni vimekuwa vingi sana. hATA kama itakuwa milioni moja na baada ya hapo ukarudi mtaani kuhustle bado haina msaada kivileSisi wenye vigezo stahiki tumefanyiwa maagizo ya usaili hapa kata ya kivule wilaya ya Ilala na kufutiliwa mbali wakati namba 174. Yusuph Nyansika Getema (mtoto wa Diwani kata ya kivule) mwenye namba ya simu 0655 700 002 karani wa sensa ni miongoni wa wale watakaohudhuria sensa KESHO pale shule ya Sekondari minazi mirefu! Kumbe hii ni sensa ya watoto wa wanaccm wenye vyeo vyao ndani ya ccm na si sensa ya wananchi.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema " chagueni mgombea atakaekidhi matarajio ya wananchi na si matarajio yako wewe mpiga kura -1995". Mchakato wote wa sensa umeghubikwa na rushwa na upendeleo wa viwango vya kutisha kwa kuwabeba watoto wa viongozi/watawala.
Sijafahamu kama ni maelekezo ya Mkuu wa wilaya ya Ilala, kamisaa wa Sensa Anna Semamba Makinda au n nini hasa?. Mimi wakati yule mama ananiuliza maswali ya kinafiki na kipumbavu kuwa "unaweza kufanya kazi sehemu yoyote utakayongiwa?. Nikajibu "ndyo" ila cha ajabu na cha kusikitisha alikuwa hana sehemu yoyote anayoandika jina au orodha ya majina ya wasaili kumbe kulikuwa ni kiini macho tu. Ninyi watawala, endeleeni kugawana nafasi za kila nafasi inayopatikana ila mwisho wenu unakaribia.
Naamini mama SAMIA SULUHU Hassan hajawatuma mjichague wenyewe na kuacha watu wengine Tena wenye sifa sinazostahili. Huyu kijana wa Nyansika Getama ni lazima achunguzwe ni kwa namna gani ameingizwa kwenye sensa hata Kama atakuwa na vigezo vinavyotakiwa na ni lazima ifahamike na kueleweka ni kwa nini wengine wenye sifa wameenguliwa bila hata maelezo! Ni usaili gani ambao Mkuu wa wilaya anauita watu waliofaulu usaili? Kulikuwa na usaili pale zaidi ya maigizo kumbe tayari mna majina tayari kwenye bahasha na suruali zenu?
Hivi wanalipwa sh ngapi? Maana nami Mungu mwema ,sijawahi jishughulisha, na Mambo haya ya kuumiza vichwa,Mimi ndio maana sikujisumbua kabisaaa. Mungu wangu alinijaalia kuyafahamu yajayo mapema na kwa taarifa yenu hata hizo pesa baada ya zoezi la sensa kuna watu watadhulumiwa.
Pole sana chuo ulimaliza lini??Sisi wenye vigezo stahiki tumefanyiwa maagizo ya usaili hapa kata ya kivule wilaya ya Ilala na kufutiliwa mbali wakati namba 174. Yusuph Nyansika Getema (mtoto wa Diwani kata ya kivule) mwenye namba ya simu 0655 700 002 karani wa sensa ni miongoni wa wale watakaohudhuria sensa KESHO pale shule ya Sekondari minazi mirefu! Kumbe hii ni sensa ya watoto wa wanaccm wenye vyeo vyao ndani ya ccm na si sensa ya wananchi.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema " chagueni mgombea atakaekidhi matarajio ya wananchi na si matarajio yako wewe mpiga kura -1995". Mchakato wote wa sensa umeghubikwa na rushwa na upendeleo wa viwango vya kutisha kwa kuwabeba watoto wa viongozi/watawala.
Sijafahamu kama ni maelekezo ya Mkuu wa wilaya ya Ilala, kamisaa wa Sensa Anna Semamba Makinda au n nini hasa?. Mimi wakati yule mama ananiuliza maswali ya kinafiki na kipumbavu kuwa "unaweza kufanya kazi sehemu yoyote utakayongiwa?. Nikajibu "ndyo" ila cha ajabu na cha kusikitisha alikuwa hana sehemu yoyote anayoandika jina au orodha ya majina ya wasaili kumbe kulikuwa ni kiini macho tu. Ninyi watawala, endeleeni kugawana nafasi za kila nafasi inayopatikana ila mwisho wenu unakaribia.
Naamini mama SAMIA SULUHU Hassan hajawatuma mjichague wenyewe na kuacha watu wengine Tena wenye sifa sinazostahili. Huyu kijana wa Nyansika Getama ni lazima achunguzwe ni kwa namna gani ameingizwa kwenye sensa hata Kama atakuwa na vigezo vinavyotakiwa na ni lazima ifahamike na kueleweka ni kwa nini wengine wenye sifa wameenguliwa bila hata maelezo! Ni usaili gani ambao Mkuu wa wilaya anauita watu waliofaulu usaili? Kulikuwa na usaili pale zaidi ya maigizo kumbe tayari mna majina tayari kwenye bahasha na suruali zenu?
Hapana. Tuliopata tuna sifa na vigezo kama ninyi Ila sisi tunawazidi kigezo cha connection.Sensa ya mwaka huu itakua na kasoro lukuki....Hawa watu walioomba wangepewa nafasi kuliko hii michezo.
Sisi wenye vigezo stahiki tumefanyiwa maagizo ya usaili hapa kata ya kivule wilaya ya Ilala na kufutiliwa mbali wakati namba 174. Yusuph Nyansika Getema (mtoto wa Diwani kata ya kivule) mwenye namba ya simu 0655 700 002 karani wa sensa ni miongoni wa wale watakaohudhuria sensa KESHO pale shule ya Sekondari minazi mirefu! Kumbe hii ni sensa ya watoto wa wanaccm wenye vyeo vyao ndani ya ccm na si sensa ya wananchi.