Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 180
Ahsante homuboi wa bwanaharusi mstaafu kwa kuturudisha kwenye mada!!
...mgonjwa upo? unaendeleaje na dozi yako sipesho.....?
:focus:....issue at hand ilikuwa ''Naomba wana JF wanaofahamu mipaka ya Rais kuagiza matumizi ya fedha za umma wakati usiokuwa wa dharura (emergency) bila ya kupata idhini ya bunge watusaidie kumhabarisha Kibonde kupitia hapa'' shangaa watu wameshindwa kuorodhesha mipaka ya raisi kuhusu matumizi ya fedha za umma, wanatuletea ma name calling, mara yule mpumbavu, oooh hajui lile wala kile, mara Jahazi ooovyo......for all the shiiiiiiiit?