Uchaguzi 2020 Uchaguzi 2020: CCM anapambana na nani?

Katika makundi yote hapo kundi ambalo sijawahi kuliamini ni kundi la 4.... Watumishi wa Umma... Yaani wapo wapo tu kama mazezeta!!
 
Ushauri mkubwa unaostahili kuzingatiwa, ni huu,

" Kwa Mzee wangu Magu!
You need smart people wanaoweza kucheza huu mchezo. Achana na hao wanaokupaka mafuta kwa Mgongo wa Chupa. Nafasi bado unayo jipange vizuri."

Afanye juu chini awarudishe Team ya KINANA, JANUARY NA NAPE, hii team ilikuwa na kocha, linkman na scorer, walijua kucheza mechi zao , inteligently , well planned na precisely executed. Sio madebe matupu ya kelele nyingi.

Mzee Raisi, you need brains to work for you and not myscles

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba 3 wamekazia muda si mrefu!

Wameanza na Makonda kumpiga ban kuingia USA.

Mbele kuna kiza kinene. Magufuli mzee wangu amkaaa.
 
Nafikiri kwa haya yanayoendelea Magonjwa Mtambuka umeupata ujumbe wangu
 
Sioni CCM wakishinda dhidi ya huu mchanganyiko. Labda wabadirishe mbeba bendera kuwakilisha chama
 
Ukiona kobe kainama ujue anatunga sheria. Kati ya sehemu anbazo mzee alikosea ni kulidharau hili kundi. Waliokuwa wanalijali hawakuwa wajinga walijua kwenye uchaguzi ni Kundi muhimu
Makundi yote yameapa kulipa kisasi kutoa kipigo.
Usimsahau Mchina nae ana hasira hatari ye ndie uisaidia ccm bao kwa kutegemea kushika tenda zote za ujenzi sasa kanyimwa tenda kujenga sgr,bwawa,bandari ya bagamoyo,vyombo vya dollars nao ni wahanga wako kundi la watumishi uofia kurudi kwa kikokotoo wakicheza.Jamaa yuko mtu kati kama akiyashinda makundi yote ya ndani na nchi hakuna Wa kumzuia kuendesha gari milele
 
Sasaivi sidhani kama watakuwa na kazi kubwa maana mzungu ameonekana kuingia uwanjani. Statement za Ubalozi wa Marekani na Uingereza ni za kufikirisha sana.
Hata hii nguvu waliyokuja nayo wapinzani si jambo la kupuuza
 
Wanasubiri mbekeko ya dora vinginevyo ni hatari kwao kuangushwa na hayo makundi tajwa hapo juu.
Ukishaguswa maslai ya USA lazima wakutoe wanna njia zaidi ya Mia,hizi za ban rasharasha tu
 
Post ya Mwaka 2020.

Naona CCM wana wakati mgumu sana kukabiliana na adui Mkuu kwa mwaka huu ambaye ni Kigogo 2014.

Kwa hali ilivyo na kama hawataweza kukabiliana nae basi mwaka huu unaweza kuweka historia kubwa sana kwenye siasa za nchi yetu hasa pale Kundi la Kigogo litakapo muunga mkono Tundu Lissu.
 
Usiwasahau wakulima wa mbaazi,korosho nk,pia wafugaji kuanzia Ihefu,mapori yote ya akiba nk,wafanyabiashara waliofilisiwa na tra,matching guys nao hawakusalimika,wavuvi kwa ujumla wao na wahitimu waliokosa ajira na wale wanufaika wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu kudaiwa 15%+ pretension fees badala ya 7%.
Sifahamu wapiga kura wanaoenda kuipa CCM ushindi wa over 90% ni kutoka kada IPI ya Watanzania? Maybe hawahitaji kura zetu,watawatumia wasimamizi wa vituo kupiga kura kama walivyofanya huku kwetu kwenye uchafuzi wa mbunge baada ya kuunga mkono juhudi.Ni maajabu ya CCM,NEC na vyombo vya ulinzi(Dola) kujichagua kwa niaba ya Wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…