Prof Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
Shein anatokea Bukoba eeehh??Prof Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
Ule ulikuwa mkakati mkubwa sana kama jk angemuacha bilal bila kumpa umakamu na kumpitisha dr shein basi ni dhahiri dr shein asingeweza tawala kabisa huko visiwani.Mkulu anamkubali sana Mbarawa, na atakuwa kwenye akili yake kuhusu huko visiwani. Lakini Wazee ndani ya Chama mda mrefu sasa wanamuandaa Hussein.
Lakini ni jambo sensitive sana kuwalazimishia wavisiwani kiongozi. Unaweza ukatumia ushawishi wako kama unao mkubwa tena na akili nyingi maana mara nyingi wao huwa tayari wanakuwa na watu wao wanapendekeza au kuwakubali.
JK aliweza kuwatuliza akamuacha Gharib na kumpa Shein. Lakini ilibidi Gharib apozwe kwa umakamu wa Jamhuri ya Muungano.
Wangazija wananguvu sana, kuruhusu mpemba haikuwa kazi rahisi. JK gwiji wa siasa. Shikamoo huko uliko
Aliyemleta shein na Bilal ni mtandao wa Lowassa!! Chaguo la JK lilikua Nahodha!! Inaonekana huzijui siasaUle ulikuwa mkakati mkubwa sana kama jk angemuacha bilal bila kumpa umakamu na kumpitisha dr shein basi ni dhahiri dr shein asingeweza tawala kabisa huko visiwani.
Jk kutokana na ubobevu na ukomavu wake wa kisiasa ukichanganya na mbinu za medani vita alizonazo akaamua kumpa dr billal umakamu ili tu dr.shein atawale vizuri visiwani.
Dr. Billal we muone vile tu mpole lakini vitna siasa anaijua vizuri sana na anapendwa sana na wahafidhina wa ccm unguja.
Dr.H.A.Mwinyi hana mpinzani kabisa.
Wahafidhina wa ccm unguja hawatokubali mpemba mwingine aingie ikulu tena kwa kufuatana.
Itakuwa ni tusi kubwa sana kwa wahafidhina wanaojiita wanamapinduzi kindakindaki wa unguja.
Nami narejea tena jk ni mwamba wa siasa nchi hii
Shikamooo jk gwiji
Mzee maarufu
Sawa mkuu wewe mwenye kujua siasa.Aliyemleta shein na Bilal ni mtandao wa Lowassa!! Chaguo la JK lilikua Nahodha!! Inaonekana huzijui siasa
Dr.Shein anatoka Sumbawanga? Kama hujui mambo piga kimya.Prof Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
SADIFA JUMA HAMISMnaleta mambo ya LOwassa na Membe ambao walizungumzwa toka 2010 lakini Magu akaokota pochi kwenye maandamano.
Naamini Rais ajae wa Zenji atakuwa sio mmoja kati ya hao mnaowapigia debe
Huyu nasikia ni wa kisiwandui huyu
Shein ni MpembaProf Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
Mama Samia bado ana nafasi nyingine ya miaka mitano kwenye jamuhuri. Nahodha (na Jerry Slaa) sijui kwa nini damu zao hazijaiva na mfalme, hata ukuu wa wilaya wamenyimwa!Mbona Mmemsahau Vuai Shamsi Nahodha na Mama Samia?
Samia lazima achukue
Dr Sheini anatoka PembaProf Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!