Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Mzee Mwinyi alikula shavu enzi hizo wakati Wanasiasa wa CCM Zanzibar Bado hawajaamka kisiasa...Lakini sasa hivi kuna wazanzibari wengi ambao ni wanasiasa wazuri tu
Prof Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
DR.Shein ni mpemba na anatoka pemba pia.Prof Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
lakini hata mh. Amani Karume hana sauti yenye mamlaka kama usemavyo lakini amekuwa rais wa znz, kuhusu suala la field nadhani aina ya wizara aliyopo mh. mwinyi haina makeke hayo ya kutimua na kuweka ndani wakandarasi vinginevyo ungemuona hivyo.Wote wawili Mwinyi na Mbarawa ni waislamu, na siku zote watu wa dini hii ni waungwana, hata siku moja huwezi kusikia wanamuita anayewazidi umri 'mpumbavu' au 'mjinga' kama marais wakristo wenzangu wanavyorudia hii hulka mbovu ya kiburi.
Namuona Mbarawa akiwa anafaa zaidi kuliko Mwinyi, Mbarawa anaweza kuongea kwa sauti yenye mamlaka na ikaheshimika. Mwinyi namuona kama ni wa ofisi zaidi, asiyependa mikwaruzano.
Mbarawa amekuwa mtu wa field kuliko Mwinyi na jambo hilo limemuwezesha kuzijua hulka za wasaidizi wake, hivyo anaweza kuwa na mpango mkakati wa kikazi wenye kuheshimiwa na taifa.
Uko sahihi kabsa..!!Mkuu rejea uelewa wa historia yako vizuri bhana Mwinyi hakuwahi kuwa mbunge wa kisarawe bali alikuwa mbunge wa jimbo la mkuranga kama sikosei.........
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr Shein ni wa wapi?Prof Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
Siasa za Zanzibar ni za kipekee...subirini muone suprise...Mbarawa si rahisi kuwa rais zanzibar coz ni Mpemba so ni ngumu kuwafuatanisha wapemba mfululizo (Shein n Mbarawa), Samia hawezi kupewa coz ni mwanamke (atapingwa na hata masheikh wakubwa visiwani) labda wafosi, Hussein Mwinyi pia ni Ngumu kwa sababu kuna fununu kuwa hakuzaliwa Zanzibar (alizaliwa Misri) na kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ili uwe rais wa Zanzibar ni lazima uwe Mzanzibari wa kuzaliwa.
Mzee Mwinyi alikula shavu enzi hizo wakati Wanasiasa wa CCM Zanzibar Bado hawajaamka kisiasa...Lakini sasa hivi kuna wazanzibari wengi ambao ni wanasiasa wazuri tu
Nadhani Shein anatoka Pemba!!!! Nyie watajeni hao mnaowapenda mkikaa kwenye key board. Watu wa Zanzibar wamechoka kuchaguliwa watawala kutoka bara; safari hii wanamchagua kijana wao wanaeishi nae visiwani muda wote ndiye atakaepeperusha bendera, nae si mwingine bali Mheshimiwa THABIT KOMBO waziri wa utalii zanzibar. Huyu kule hana mpinzani.
Kwani Dr Shen anatokea wapi?Prof Makame Mbarawa atakuwa Rais kwa sababu moja kuu anatokea Pemba ambako hawajawahi kutoa Rais wa SMZ. Hivyo Mbarawa atawaongezea CCM ushindi kuleni Kisiwani Pemba!
Nasikia JK alimtaka yule mama shombeshombe aliyekuwa waziri was fedha ndiye awe makamu wa RaisAliyemleta shein na Bilal ni mtandao wa Lowassa!! Chaguo la JK lilikua Nahodha!! Inaonekana huzijui siasa
Hivi hakuna wazanzibar wengine wafia Nchi kuliko hawa wa kuungaunga ? , hakuna hata aliye hukohuko Zanzibar zaidi ya hawa walowezi wa Tanganyika ?Kama tunavyojua kuwa 2020 Dr Shein atakuwa anafikia muhula wake wa mwisho wa uongozi visiwani Zbar, kinyang'anyiro cha kumpata mrithi wake kinaweza kikatawaliwa na 'wababe' hawa wawili yani Dr Mwinyi na Prof Mbarawa.
Sasa nimekuja kwenu wachambuzi wa maswala ya siasa mtoe uchambuzi wenu kuwa nani namba zinambeba na nani kati ya hawa wawili anaweza kuibuka kidedea?
Karibuni.