fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
usiseme watu wa Zanzibar sema CCM wa Zanzibar.
Na kwa kifupi tu CCM Zanzibar hawana ubavu wa kumueka mgombea wao wanaomtaka. mgombea wa Uraisi kupitia CCM Zanzibar atakua ni chaguo la Makufuli tu.
MASAUNI anachukua nchiKama tunavyojua kuwa 2020 Dr Shein atakuwa anafikia muhula wake wa mwisho wa uongozi visiwani Zbar, kinyang'anyiro cha kumpata mrithi wake kinaweza kikatawaliwa na 'wababe' hawa wawili yani Dr Mwinyi na Prof Mbarawa.
Sasa nimekuja kwenu wachambuzi wa maswala ya siasa mtoe uchambuzi wenu kuwa nani namba zinambeba na nani kati ya hawa wawili anaweza kuibuka kidedea?
Karibuni.
Dr Mwinyi ananafasi zaidi 89%. Uzoefu kichama na kiuongozi. Pia kaongoza idara yeti kwa muda menu bila kashfaaKama tunavyojua kuwa 2020 Dr Shein atakuwa anafikia muhula wake wa mwisho wa uongozi visiwani Zbar, kinyang'anyiro cha kumpata mrithi wake kinaweza kikatawaliwa na 'wababe' hawa wawili yani Dr Mwinyi na Prof Mbarawa.
Sasa nimekuja kwenu wachambuzi wa maswala ya siasa mtoe uchambuzi wenu kuwa nani namba zinambeba na nani kati ya hawa wawili anaweza kuibuka kidedea?
Karibuni.