Uchaguzi 2020 Uchaguzi 2020 Zanzibar: Prof. Mbarawa vs Dr. Mwinyi, nani namba zinambeba?

Uchaguzi 2020 Uchaguzi 2020 Zanzibar: Prof. Mbarawa vs Dr. Mwinyi, nani namba zinambeba?

professor mbarawa is the best,Hussein mwinyi bishoo bishoo Fulani tu.

Mbarawa mskilizaji watu na mtu wa maamuzi na si limbukeni wa vyeo
 
usiseme watu wa Zanzibar sema CCM wa Zanzibar.
Na kwa kifupi tu CCM Zanzibar hawana ubavu wa kumueka mgombea wao wanaomtaka. mgombea wa Uraisi kupitia CCM Zanzibar atakua ni chaguo la Makufuli tu.

Nakubali kosa; wahusika ni ccm Zanzibar!! Hata hivyo ccm Zanzibar ya jana sio ccm zanzibar ya leo. Mahmood Thabit Kombo ameishi na wenzie huka Zanzibar muda wake mwingi wa uongozi lakini Hussein Mwinyi na Mbarawa ni watu wa bara zaidi. Safari hii ccm Zanzibar wanasema hawatayumbishwa na wabara hata kama Mzee mwinyi ameanza kampeni kutaka mwanae aongoze baada ya Shein. Hussein Mwinyi ni mfanya biashara zaidi kuliko uanasiasa!!!!
 
Kama tunavyojua kuwa 2020 Dr Shein atakuwa anafikia muhula wake wa mwisho wa uongozi visiwani Zbar, kinyang'anyiro cha kumpata mrithi wake kinaweza kikatawaliwa na 'wababe' hawa wawili yani Dr Mwinyi na Prof Mbarawa.

Sasa nimekuja kwenu wachambuzi wa maswala ya siasa mtoe uchambuzi wenu kuwa nani namba zinambeba na nani kati ya hawa wawili anaweza kuibuka kidedea?

Karibuni.
MASAUNI anachukua nchi
 
Nimeona mabishano na mipasho kwa Rais ajaye Zanzibar. Na kwa kuwa jina lipo kapuni mimi nalitabiri. Rais ajaye Znz ni Profesa Makame Mbarawa.

Samia atamaliza na Magu while mtoto wa kigogo mkubwa ndani ya chama ndiye anaandaliwa kuwa Rais wa Tanzania baada ya Magufuli. Ila sio mtoto wa Katibu Mstaafu. Hasikiki sana ila ndio kijiti anataka kabidhiwa.

Kama wafadhihina ndani ya chama wakichonga basi itabidi aende Znz kama Rais.
 
Wala usipoteze muda wako kubashiri au kutabiri kuhusu rais wa Zanzibar atakuwa na nani. Kila kitu kiko wazi kwa sasa, mambo yote yameshapangwa huko bara, mengine yote ni protokali za kisiasa za kuzugazuga. Rais ajaye wa Zanzibar ni Hussein Mwinyi.
Kama huamini basi subiri muda utajua.

COVID tu ndio bado inaleta utata.
Nenda pale Lugalo hospitali ndio utaambiwa yote
 
Kama tunavyojua kuwa 2020 Dr Shein atakuwa anafikia muhula wake wa mwisho wa uongozi visiwani Zbar, kinyang'anyiro cha kumpata mrithi wake kinaweza kikatawaliwa na 'wababe' hawa wawili yani Dr Mwinyi na Prof Mbarawa.

Sasa nimekuja kwenu wachambuzi wa maswala ya siasa mtoe uchambuzi wenu kuwa nani namba zinambeba na nani kati ya hawa wawili anaweza kuibuka kidedea?

Karibuni.
Dr Mwinyi ananafasi zaidi 89%. Uzoefu kichama na kiuongozi. Pia kaongoza idara yeti kwa muda menu bila kashfaa
 
Kumbe mada ni ya wana CCM peke yao. Hamna CCM aliyeshinda kwa kura za wananchi Zanzibar tangu vyama vingi vianzishwe wala haito tokea CCM kushinda Zenji.
 
Back
Top Bottom