Pre GE2025 Uchaguzi 2025 CCM vs CHADEMA, Samia Suluhu vs Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
igweeeeeee

Imesalia takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa kuufikia uchaguzi mkuu mwaka 2025...
Samia apumzike kwa Heshma aliyojijengea so far , ukiacha Nyerere anayefuata kwa busara na heshma ni Ma' Abdul.

Akae pembeni .
 
Maridhiano, uvumilivu, mabadiliko na ujenzi mpya wa nchi

Miradi mingi kila sekta mikoa yote kunamabadilko na maendeleo

Ninyi Chadema mmeomba maandamano mmepewa, wananchi wameomba maendeleo mama kawapatia
Ukiamua kuwa chawa mwaminifu inakupasa uwe na taarifa muhimu za bwana wako unayemtetea.
1. Maridhiano yapi amefanya na walikorofolishana na nani?

2. Idara na sekta gani zimeletewa maendeleo?

3. Je maendeleo haya ni muhimu kuzidi umeme?

4. Dola ziko wapi?

5. Sukari hatima yake nini?
 
Hii Tume ya Mchongo Kura za Ubunge wamepanga ziwe Mshindi atangazwe lakini za Uraisi Maza akisikia kashindwa atamtuma JECHA wa Bara. Mpira kwapani.😁
Hatasubiri kura zipigwe kihalali. Wanaanza kuchakachukuwa kabla hata ya siku ya kura. Uchaguzi ungekuwa huru Samia angeshindwa vibaya sana kwani kwa sasa anaweza kuwa ndiye rais aliyepata kuchukiwa kuliko wote. Na mbaya zaidi vijijini nako anachukiwa sana. Wanawake wenzake ndiyo kabisaa, hawataki hata kusikia jina lake.
 
2025 ni Samia vs Mbowe ...Lisu nadhani atagombea ubunge
Mbowe hawezi gombea urais ambao haupati aache maokoto ya ubunge. Hiyo nafasi atapewa Lissu au mgombea mwingine wa kuazima toka CCM.
 
igweeeeeee

Imesalia takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa kuufikia uchaguzi mkuu mwaka 2025.

Kama ilivyokawaida ya upepo wa kisiasa tayari washindani wakuu wamebaki kutoka vyama vilevile CCM na CHADEMA i mean Samia Suluhu Hassan versus Tundu Antipass Lissu

Kwa sasa CCM wako wazi kabisa wanamsimamisha mama, lakini kwa upande wa CHADEMA sioni wakimsimamisha mgombea mwingine mbali na Lissu hasa ukizingatia matokeo ya uchaguzi uliopita 2020.

Naona Samia Suluhu akijapambanua zaidi na 4R ambazo ndiyo naona zinaenda kuumaliza uchaguzi wa 2025 asubuhi tu mama anachukua kiti tena

Lakini pia Mama ananafasi kubwa kwani amefanya makubwa kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa watanzania

Uchaguzi wa 2025 utaamuliwa na timu ya ushindi itakayotengenezwa na chama husika, hapa naiona timu ya CCM imekamilika mapema tu mbali sana na CHADEMA kwani kwa sasa Makonda pekee anaitikisa Chadema yote

Tundu Lissu bado watanzania hawajamuelewa yaani hata ukimuuliza mwanachadema lialia hawezi kujibu kwamba Lissu anasimamia misingi gani na anakitu gani kuwafanyia watanzania

Viongozi wa nchi hujipambanua kwa sera zao na slogani ambazo ndio hubeba dhana ya mafanikio yao.

Timu ya ushindi haiwezi kujengwa na mtu kama mdude chadema, Sugu, lema, akina Mnyika nk

Uchaguzi mkuu 2025 kwa ngazi ya urais umetamatika mapema mno
Patriot vs Puppet...

very simple election to a wining team
 
Mipango ya Samia kuelekea 2025

-Anamwaga ajira chovu za ualimu na afya nyingi....
-kuiba kura...
 
Kama ikiwa hivi Chadema kinaenda kupasuka 2025

Lissu hana uvumilivu huu
Losu hatataka kugombea urais maana najua hatapata kwa system ilivyo bora ataona asubiri 2030 ila 2025 agombee ubunge awe mjengoni.
 
igweeeeeee

Imesalia takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa kuufikia uchaguzi mkuu mwaka 2025.

Kama ilivyokawaida ya upepo wa kisiasa tayari washindani wakuu wamebaki kutoka vyama vilevile CCM na CHADEMA i mean Samia Suluhu Hassan versus Tundu Antipass Lissu

Kwa sasa CCM wako wazi kabisa wanamsimamisha mama, lakini kwa upande wa CHADEMA sioni wakimsimamisha mgombea mwingine mbali na Lissu hasa ukizingatia matokeo ya uchaguzi uliopita 2020.

Naona Samia Suluhu akijapambanua zaidi na 4R ambazo ndiyo naona zinaenda kuumaliza uchaguzi wa 2025 asubuhi tu mama anachukua kiti tena

Lakini pia Mama ananafasi kubwa kwani amefanya makubwa kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa watanzania

Uchaguzi wa 2025 utaamuliwa na timu ya ushindi itakayotengenezwa na chama husika, hapa naiona timu ya CCM imekamilika mapema tu mbali sana na CHADEMA kwani kwa sasa Makonda pekee anaitikisa Chadema yote

Tundu Lissu bado watanzania hawajamuelewa yaani hata ukimuuliza mwanachadema lialia hawezi kujibu kwamba Lissu anasimamia misingi gani na anakitu gani kuwafanyia watanzania

Viongozi wa nchi hujipambanua kwa sera zao na slogani ambazo ndio hubeba dhana ya mafanikio yao.

Timu ya ushindi haiwezi kujengwa na mtu kama mdude chadema, Sugu, lema, akina Mnyika nk

Uchaguzi mkuu 2025 kwa ngazi ya urais umetamatika mapema mno
Tundu Lisu amechuja
 
HIVI wananchi wenzangu mnaona kama Mimi? Mbona kila siku naona kilio cha wananchi kuswekwa mahabusu kabla ya upelelezi kukamilika kinyume na maagizo ya MH.Rais? Mbona naona wanyonge bambikiziwa kesi Kwa mashinikizo ya wenyepesa?

Mbona MAHAKAMA zinaamua kesi Kwa upendeleo wa wazi? Mbona MAHAKAMA inasimamia dhuruma ya Mali za wajane,yatima NK?

Walejamaa waliosema mbu wasibughudhiwe wanapomuuma mtuhumiwa bado wapo?

KWAKWELI NINA HASIRA NA HAWA WANAOFANYA HAKI INAPOKWA,WANAOFISADI MALI ZA UMMA,WANAOPEANA VYEO KWA UPENDELEO,WANAOTUFANYA VIKATUNI MBELE YA WALIOTUIBIA.

HIVI NI KWELI HAWAONI KWAMBA NCHI IMEONGEZA WAHALIFU WALIOJUU YA SHERIA KWA KULINDWA NA WATUMISHI WA UMMA WALIOPEWA DHAMANA YA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO?

MUNGU YUPO IPO SIKU
 
igweeeeeee

Imesalia takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa kuufikia uchaguzi mkuu mwaka 2025.

Kama ilivyokawaida ya upepo wa kisiasa tayari washindani wakuu wamebaki kutoka vyama vilevile CCM na CHADEMA i mean Samia Suluhu Hassan versus Tundu Antipass Lissu

Kwa sasa CCM wako wazi kabisa wanamsimamisha mama, lakini kwa upande wa CHADEMA sioni wakimsimamisha mgombea mwingine mbali na Lissu hasa ukizingatia matokeo ya uchaguzi uliopita 2020.

Naona Samia Suluhu akijapambanua zaidi na 4R ambazo ndiyo naona zinaenda kuumaliza uchaguzi wa 2025 asubuhi tu mama anachukua kiti tena

Lakini pia Mama ananafasi kubwa kwani amefanya makubwa kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa watanzania

Uchaguzi wa 2025 utaamuliwa na timu ya ushindi itakayotengenezwa na chama husika, hapa naiona timu ya CCM imekamilika mapema tu mbali sana na CHADEMA kwani kwa sasa Makonda pekee anaitikisa Chadema yote

Tundu Lissu bado watanzania hawajamuelewa yaani hata ukimuuliza mwanachadema lialia hawezi kujibu kwamba Lissu anasimamia misingi gani na anakitu gani kuwafanyia watanzania

Viongozi wa nchi hujipambanua kwa sera zao na slogani ambazo ndio hubeba dhana ya mafanikio yao.

Timu ya ushindi haiwezi kujengwa na mtu kama mdude chadema, Sugu, lema, akina Mnyika nk

Uchaguzi mkuu 2025 kwa ngazi ya urais umetamatika mapema mno
Tundu lisu,hapo pamoto.hiyo karata inaweza kuleta changamoto.
 
Back
Top Bottom