Pre GE2025 Uchaguzi 2025 CCM vs CHADEMA, Samia Suluhu vs Tundu Lissu

Pre GE2025 Uchaguzi 2025 CCM vs CHADEMA, Samia Suluhu vs Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maridhiano, uvumilivu, mabadiliko na ujenzi mpya wa nchi

Miradi mingi kila sekta mikoa yote kunamabadilko na maendeleo

Ninyi Chadema mmeomba maandamano mmepewa, wananchi wameomba maendeleo mama kawapatia
Kwa kweli maana umeme mpaka wa kumwaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maridhiano, uvumilivu, mabadiliko na ujenzi mpya wa nchi

Miradi mingi kila sekta mikoa yote kunamabadilko na maendeleo

Ninyi Chadema mmeomba maandamano mmepewa, wananchi wameomba maendeleo mama kawapatia
Kama umeme tuu unamshinda, bei ya sukari imeshamponyoka inamshinda. Atakiweza nini jamaniiiiii. Watu wanafumba macho wanaacha yabomoke
 
Samia mapema asubuhi.
..
photo_2021-08-11_09-06-26.jpg
 
igweeeeeee

Imesalia takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa kuufikia uchaguzi mkuu mwaka 2025.

Kama ilivyokawaida ya upepo wa kisiasa tayari washindani wakuu wamebaki kutoka vyama vilevile CCM na CHADEMA i mean Samia Suluhu Hassan versus Tundu Antipass Lissu

Kwa sasa CCM wako wazi kabisa wanamsimamisha mama, lakini kwa upande wa CHADEMA sioni wakimsimamisha mgombea mwingine mbali na Lissu hasa ukizingatia matokeo ya uchaguzi uliopita 2020.

Naona Samia Suluhu akijapambanua zaidi na 4R ambazo ndiyo naona zinaenda kuumaliza uchaguzi wa 2025 asubuhi tu mama anachukua kiti tena

Lakini pia Mama ananafasi kubwa kwani amefanya makubwa kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa watanzania

Uchaguzi wa 2025 utaamuliwa na timu ya ushindi itakayotengenezwa na chama husika, hapa naiona timu ya CCM imekamilika mapema tu mbali sana na CHADEMA kwani kwa sasa Makonda pekee anaitikisa Chadema yote

Tundu Lissu bado watanzania hawajamuelewa yaani hata ukimuuliza mwanachadema lialia hawezi kujibu kwamba Lissu anasimamia misingi gani na anakitu gani kuwafanyia watanzania

Viongozi wa nchi hujipambanua kwa sera zao na slogani ambazo ndio hubeba dhana ya mafanikio yao.

Timu ya ushindi haiwezi kujengwa na mtu kama mdude chadema, Sugu, lema, akina Mnyika nk

Uchaguzi mkuu 2025 kwa ngazi ya urais umetamatika mapema mno
Niameona kwenye ulimwengu wa Roho, Raisi atakuwa mwanaume atatoka ndani ya ccm siyo chadema.
 
Hatasubiri kura zipigwe kihalali. Wanaanza kuchakachukuwa kabla hata ya siku ya kura. Uchaguzi ungekuwa huru Samia angeshindwa vibaya sana kwani kwa sasa anaweza kuwa ndiye rais aliyepata kuchukiwa kuliko wote. Na mbaya zaidi vijijini nako anachukiwa sana. Wanawake wenzake ndiyo kabisaa, hawataki hata kusikia jina lake.
Huyo mama siyo Raisi tena! Mbona hamelewi
 
Naona bandiko limekaa ki-opposition research hivi. Kama vile kuna watu wanataka kujua kete kuu za CHADEMA 2025: mgombea uRais, ajenda na hoja kuu zitakazotikisa majukwaani, n.k.

Tuseme safari hii CHADEMA wamejificha sana kiasi kwamba timu ya Mama imepata homa na kuanza kutuma wanaa kufanya uchokonozi wa hapa na pale kutafuta info?

Anyway ngoja tusome comments labda na sisi tutaambua kitu kuhusu mkakati wa uchaguzi wa CHADEMA. Kwa CCM mambo yako wazi: mgombea ni SSH. Mkakati muhimu wa ushindi ni legacy ya JPM ya kusikiliza na kutatua kero za wanyonge papo kwa papo via Bashite. Lukasi na johnthebaptist ndio magwiji wa PR ya chama twawala hapa JF. Well, the stage is partially set, so, let’s get it on (MG).
 
Sio lissu tu hata tusipoweka mgombea ikawekwa kura ya ndio na hapana I doubt Samia anaweza pata hata 40%.
Ha ha.

Mkuu, katika Ubora wako.

Kiuhalisia, wneye Interest zao pamoja na makeke yote ya Uwekezaji-Billion of Dollars. Ni lazima wapewe Guarantee za Investments zao. Sidhani kama Tundu Lissu fits the category of Guarantors

Rais Samia alishatoa Guarantee hiyo, kwa kufanya efforts nyingi alizofanya, including, the systematic efforts to undermine and reduce the effectivness ya 2017 Maliasili/Rasilimali bill zishafanyika, hiyo kwa maoni yangu inatoa guarantee.

Junior hata asigombee, ashaweka Guarantee hiyo,itoshe the Elections war Chest is very healthy (40%+Elections Chest)kwa wale wenye Ujasiri wa kuendeleza sera za wenye Interest na mabilioni yao.

Question is, TL anaweza kutoa Guarantee hiyo? Sidhani. Maybe mbowe. Sasa huko ndiko tunaweza kuona mifarakanyo. Na ndio nashikia bango, CHADEMA should lay out their Policy agendas na sio kudandia dandia tu headlines kutafuta umaarufu, ili wenye mahela yao wakae bila mashaka.
 
Sio lissu tu hata tusipoweka mgombea ikawekwa kura ya ndio na hapana I doubt Samia anaweza pata hata 40%.
Kama huku kanda ya ziwa ndiyo hatutaki kumsikia kabisa na HATUDANGANYIKI na ujio wa Makonda na Biteko, hatumtaki hatumtaki hatumtakiiiiiii
 
Jaman kuna mda tukubali lissu anakubalika hata mwenyew nimeamini baada ya kufanya upigaji kura twitter (poll). Na matokeo yakawa kama hapo chini
 

Attachments

  • Screenshot_20250128-103836_1.jpg
    Screenshot_20250128-103836_1.jpg
    95.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250128-103836_1.jpg
    Screenshot_20250128-103836_1.jpg
    95.8 KB · Views: 2
Bad news twitter user hawaakisi uhalisia wa number ya wananchi waliokuwa ground
 
Back
Top Bottom