Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Hivi hayo makubwa kiuchumi ni yapi?!!igweeeeeee
Imesalia takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa kuufikia uchaguzi mkuu mwaka 2025...
Hii ni hasaraKuwaondoa Wamasai Ngorongoro na kisha kuwaongezea Wajomba zake kipande cha ardhi. Bila kusahau Badari yetu aliyowauzia hao hao Wajomba.
Samia apumzike kwa Heshma aliyojijengea so far , ukiacha Nyerere anayefuata kwa busara na heshma ni Ma' Abdul.igweeeeeee
Imesalia takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa kuufikia uchaguzi mkuu mwaka 2025...
Ukiamua kuwa chawa mwaminifu inakupasa uwe na taarifa muhimu za bwana wako unayemtetea.Maridhiano, uvumilivu, mabadiliko na ujenzi mpya wa nchi
Miradi mingi kila sekta mikoa yote kunamabadilko na maendeleo
Ninyi Chadema mmeomba maandamano mmepewa, wananchi wameomba maendeleo mama kawapatia
Chawa wa Mamawewe umetumwa na nani
Hatasubiri kura zipigwe kihalali. Wanaanza kuchakachukuwa kabla hata ya siku ya kura. Uchaguzi ungekuwa huru Samia angeshindwa vibaya sana kwani kwa sasa anaweza kuwa ndiye rais aliyepata kuchukiwa kuliko wote. Na mbaya zaidi vijijini nako anachukiwa sana. Wanawake wenzake ndiyo kabisaa, hawataki hata kusikia jina lake.Hii Tume ya Mchongo Kura za Ubunge wamepanga ziwe Mshindi atangazwe lakini za Uraisi Maza akisikia kashindwa atamtuma JECHA wa Bara. Mpira kwapani.😁
Nabalance Assets na Liabilities 🐼Kila napoona utoto humu huwa ni wako. Why
Mbona nasikia wanamtaja Job Ndugai?Mgombea wa Chadema mh Mpina🐼
Mbowe hawezi gombea urais ambao haupati aache maokoto ya ubunge. Hiyo nafasi atapewa Lissu au mgombea mwingine wa kuazima toka CCM.2025 ni Samia vs Mbowe ...Lisu nadhani atagombea ubunge
Mtu anabusara unaachaje kumpatia muda amalizie ingweSamia apumzike kwa Heshma aliyojijengea so far , ukiacha Nyerere anayefuata kwa busara na heshma ni Ma' Abdul.
akae pembeni .
Patriot vs Puppet...igweeeeeee
Imesalia takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa kuufikia uchaguzi mkuu mwaka 2025.
Kama ilivyokawaida ya upepo wa kisiasa tayari washindani wakuu wamebaki kutoka vyama vilevile CCM na CHADEMA i mean Samia Suluhu Hassan versus Tundu Antipass Lissu
Kwa sasa CCM wako wazi kabisa wanamsimamisha mama, lakini kwa upande wa CHADEMA sioni wakimsimamisha mgombea mwingine mbali na Lissu hasa ukizingatia matokeo ya uchaguzi uliopita 2020.
Naona Samia Suluhu akijapambanua zaidi na 4R ambazo ndiyo naona zinaenda kuumaliza uchaguzi wa 2025 asubuhi tu mama anachukua kiti tena
Lakini pia Mama ananafasi kubwa kwani amefanya makubwa kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa watanzania
Uchaguzi wa 2025 utaamuliwa na timu ya ushindi itakayotengenezwa na chama husika, hapa naiona timu ya CCM imekamilika mapema tu mbali sana na CHADEMA kwani kwa sasa Makonda pekee anaitikisa Chadema yote
Tundu Lissu bado watanzania hawajamuelewa yaani hata ukimuuliza mwanachadema lialia hawezi kujibu kwamba Lissu anasimamia misingi gani na anakitu gani kuwafanyia watanzania
Viongozi wa nchi hujipambanua kwa sera zao na slogani ambazo ndio hubeba dhana ya mafanikio yao.
Timu ya ushindi haiwezi kujengwa na mtu kama mdude chadema, Sugu, lema, akina Mnyika nk
Uchaguzi mkuu 2025 kwa ngazi ya urais umetamatika mapema mno
Losu hatataka kugombea urais maana najua hatapata kwa system ilivyo bora ataona asubiri 2030 ila 2025 agombee ubunge awe mjengoni.Kama ikiwa hivi Chadema kinaenda kupasuka 2025
Lissu hana uvumilivu huu
Tundu Lisu amechujaigweeeeeee
Imesalia takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa kuufikia uchaguzi mkuu mwaka 2025.
Kama ilivyokawaida ya upepo wa kisiasa tayari washindani wakuu wamebaki kutoka vyama vilevile CCM na CHADEMA i mean Samia Suluhu Hassan versus Tundu Antipass Lissu
Kwa sasa CCM wako wazi kabisa wanamsimamisha mama, lakini kwa upande wa CHADEMA sioni wakimsimamisha mgombea mwingine mbali na Lissu hasa ukizingatia matokeo ya uchaguzi uliopita 2020.
Naona Samia Suluhu akijapambanua zaidi na 4R ambazo ndiyo naona zinaenda kuumaliza uchaguzi wa 2025 asubuhi tu mama anachukua kiti tena
Lakini pia Mama ananafasi kubwa kwani amefanya makubwa kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa watanzania
Uchaguzi wa 2025 utaamuliwa na timu ya ushindi itakayotengenezwa na chama husika, hapa naiona timu ya CCM imekamilika mapema tu mbali sana na CHADEMA kwani kwa sasa Makonda pekee anaitikisa Chadema yote
Tundu Lissu bado watanzania hawajamuelewa yaani hata ukimuuliza mwanachadema lialia hawezi kujibu kwamba Lissu anasimamia misingi gani na anakitu gani kuwafanyia watanzania
Viongozi wa nchi hujipambanua kwa sera zao na slogani ambazo ndio hubeba dhana ya mafanikio yao.
Timu ya ushindi haiwezi kujengwa na mtu kama mdude chadema, Sugu, lema, akina Mnyika nk
Uchaguzi mkuu 2025 kwa ngazi ya urais umetamatika mapema mno
acha ujimga uhuru hautolewi na rais unatolewa nakatibaupinzani mnaajenda gani kumshinda samia?
amewapa uhuru mnaandamana, je agenda yenu kuu ni maandamano?
Tundu lisu,hapo pamoto.hiyo karata inaweza kuleta changamoto.igweeeeeee
Imesalia takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa kuufikia uchaguzi mkuu mwaka 2025.
Kama ilivyokawaida ya upepo wa kisiasa tayari washindani wakuu wamebaki kutoka vyama vilevile CCM na CHADEMA i mean Samia Suluhu Hassan versus Tundu Antipass Lissu
Kwa sasa CCM wako wazi kabisa wanamsimamisha mama, lakini kwa upande wa CHADEMA sioni wakimsimamisha mgombea mwingine mbali na Lissu hasa ukizingatia matokeo ya uchaguzi uliopita 2020.
Naona Samia Suluhu akijapambanua zaidi na 4R ambazo ndiyo naona zinaenda kuumaliza uchaguzi wa 2025 asubuhi tu mama anachukua kiti tena
Lakini pia Mama ananafasi kubwa kwani amefanya makubwa kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa watanzania
Uchaguzi wa 2025 utaamuliwa na timu ya ushindi itakayotengenezwa na chama husika, hapa naiona timu ya CCM imekamilika mapema tu mbali sana na CHADEMA kwani kwa sasa Makonda pekee anaitikisa Chadema yote
Tundu Lissu bado watanzania hawajamuelewa yaani hata ukimuuliza mwanachadema lialia hawezi kujibu kwamba Lissu anasimamia misingi gani na anakitu gani kuwafanyia watanzania
Viongozi wa nchi hujipambanua kwa sera zao na slogani ambazo ndio hubeba dhana ya mafanikio yao.
Timu ya ushindi haiwezi kujengwa na mtu kama mdude chadema, Sugu, lema, akina Mnyika nk
Uchaguzi mkuu 2025 kwa ngazi ya urais umetamatika mapema mno
kipindi cha magu mlikuwa mnalilia nini, kinyeo?acha ujimga uhuru hautolewi na rais unatolewa nakatiba