Kwa kweli maana umeme mpaka wa kumwaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maridhiano, uvumilivu, mabadiliko na ujenzi mpya wa nchi
Miradi mingi kila sekta mikoa yote kunamabadilko na maendeleo
Ninyi Chadema mmeomba maandamano mmepewa, wananchi wameomba maendeleo mama kawapatia
Kama umeme tuu unamshinda, bei ya sukari imeshamponyoka inamshinda. Atakiweza nini jamaniiiiii. Watu wanafumba macho wanaacha yabomokeMaridhiano, uvumilivu, mabadiliko na ujenzi mpya wa nchi
Miradi mingi kila sekta mikoa yote kunamabadilko na maendeleo
Ninyi Chadema mmeomba maandamano mmepewa, wananchi wameomba maendeleo mama kawapatia
Toto kweliwewe umeandika kitoto mno
..Samia mapema asubuhi.
Niameona kwenye ulimwengu wa Roho, Raisi atakuwa mwanaume atatoka ndani ya ccm siyo chadema.igweeeeeee
Imesalia takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa kuufikia uchaguzi mkuu mwaka 2025.
Kama ilivyokawaida ya upepo wa kisiasa tayari washindani wakuu wamebaki kutoka vyama vilevile CCM na CHADEMA i mean Samia Suluhu Hassan versus Tundu Antipass Lissu
Kwa sasa CCM wako wazi kabisa wanamsimamisha mama, lakini kwa upande wa CHADEMA sioni wakimsimamisha mgombea mwingine mbali na Lissu hasa ukizingatia matokeo ya uchaguzi uliopita 2020.
Naona Samia Suluhu akijapambanua zaidi na 4R ambazo ndiyo naona zinaenda kuumaliza uchaguzi wa 2025 asubuhi tu mama anachukua kiti tena
Lakini pia Mama ananafasi kubwa kwani amefanya makubwa kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa watanzania
Uchaguzi wa 2025 utaamuliwa na timu ya ushindi itakayotengenezwa na chama husika, hapa naiona timu ya CCM imekamilika mapema tu mbali sana na CHADEMA kwani kwa sasa Makonda pekee anaitikisa Chadema yote
Tundu Lissu bado watanzania hawajamuelewa yaani hata ukimuuliza mwanachadema lialia hawezi kujibu kwamba Lissu anasimamia misingi gani na anakitu gani kuwafanyia watanzania
Viongozi wa nchi hujipambanua kwa sera zao na slogani ambazo ndio hubeba dhana ya mafanikio yao.
Timu ya ushindi haiwezi kujengwa na mtu kama mdude chadema, Sugu, lema, akina Mnyika nk
Uchaguzi mkuu 2025 kwa ngazi ya urais umetamatika mapema mno
Sio lissu tu hata tusipoweka mgombea ikawekwa kura ya ndio na hapana I doubt Samia anaweza pata hata 40%.Sasa najua mtakuja na "ikiwepo tume huru na katiba mpya, atashinda!"
Huyo mama siyo Raisi tena! Mbona hamelewiHatasubiri kura zipigwe kihalali. Wanaanza kuchakachukuwa kabla hata ya siku ya kura. Uchaguzi ungekuwa huru Samia angeshindwa vibaya sana kwani kwa sasa anaweza kuwa ndiye rais aliyepata kuchukiwa kuliko wote. Na mbaya zaidi vijijini nako anachukiwa sana. Wanawake wenzake ndiyo kabisaa, hawataki hata kusikia jina lake.
Ha ha.Sio lissu tu hata tusipoweka mgombea ikawekwa kura ya ndio na hapana I doubt Samia anaweza pata hata 40%.
Kama huku kanda ya ziwa ndiyo hatutaki kumsikia kabisa na HATUDANGANYIKI na ujio wa Makonda na Biteko, hatumtaki hatumtaki hatumtakiiiiiiiSio lissu tu hata tusipoweka mgombea ikawekwa kura ya ndio na hapana I doubt Samia anaweza pata hata 40%.
Punguza upuuzi joMgombea wa Chadema mh Mpina[emoji209]