Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kifupi sukuma gang ni mayatima. Hawana pakushika. Ccm hawarudi na chadema hawaendi. Wana option moja tu kwenda Kwa Lipumba au kubaki ACT
Kifupi sukuma gang ni mayatima. Hawana pakushika. Ccm hawarudi na chadema hawaendi. Wana option moja tu kwenda Kwa Lipumba au kubaki ACT
Watajijua wenyeweKwani wamefukuzwa CCM
Yule yuko home kwa sasa ndani ya ccm ame relax
Yatima hadekiKifupi sukuma gang ni mayatima. Hawana pakushika. Ccm hawarudi na chadema hawaendi. Wana option moja tu kwenda Kwa Lipumba au kubaki ACT
CCM ina miezi michache sana kabla ya kugawana mbao .Hiki ndicho nachokiona na pia ndio nakisikia kwa habari za chini chini.
Hata hivyo, coalition ya SUKUMA GANG + ACT haiwezi kuwa na nguvu unless wangeihusisha CHADEMA, ila tatizo ni vigumu kwa SUKUMA GANG kuomba ushirikiano na CHADEMA kwa uhalifu waliofanya dhidi ya chama hiki wakati wa Mwendazake japo kwenye siasa wanasema hakuna adui wala rafiki wa kudumu.
Pia CHADEMA wawe makini kwani baadhi ya makamanda wanaweza kurubuniwa ili wahamie kambi ya ACT na SUKUMA GANG.
Wacha tusubiri muda utaongea.
kila mtu anajua kasoro chawa tu2025 Bi. Mikopo atake asitake hatakuwa raisi wa Tanzania, full stop.
🤣🤣🤣CCM ina miezi michache sana kabla ya kugawana mbao .
Kwa tume ipi?Tatizo hapa n mzee wa msoga TU
Hilo ndilo tawi kuu mama analolitegemea likianguka TU kabla 2025 mama safari ya kibanda maiti pemba kula penshen inamuhusu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Na ndivyo itakavyokuwa. Kuna text inayotembea kwenye mitandao ya kijamii inayoonyesha nafasi za juu zilizoshikiliwa na na wanawake. Kati ya hizo wakuu wa mihimili mikuu miwili wamekuwa wakikosolewa zaidi. Wanasema hawana tofauti na single mother ambae ana watoto zaidi ya watu na Kila mmoja ana Baba yake.2025 Bi. Mikopo atake asitake hatakuwa raisi wa Tanzania, full stop.
Maneno haya tangu enzi za Mrema. Bila plan CCM ni ataendelea kuwa kupe2025 Bi. Mikopo atake asitake hatakuwa raisi wa Tanzania, full stop.
Tatizo la wanasiasa kila uchaguzi ukiisha ni kuanzia maandalizi ya uchaguzi ujao, chochote atakachofanya mwanasiasa kiwe Cha kijamii au maendeleo hulenga uchaguzi ujao. Chochote kisichohusiana na kumuweka mwanasiasa katika mazingira mazuri ya kushinda uchaguzi ujao hata kama ni muhimu kwa nchi hakitafanyika.Hiki ndicho nachokiona na pia ndio nakisikia kwa habari za chini chini.
Hata hivyo, coalition ya SUKUMA GANG + ACT haiwezi kuwa na nguvu unless wangeihusisha CHADEMA, ila tatizo ni vigumu kwa SUKUMA GANG kuomba ushirikiano na CHADEMA kwa uhalifu waliofanya dhidi ya chama hiki wakati wa Mwendazake japo kwenye siasa wanasema hakuna adui wala rafiki wa kudumu.
Pia CHADEMA wawe makini kwani baadhi ya makamanda wanaweza kurubuniwa ili wahamie kambi ya ACT na SUKUMA GANG.
Wacha tusubiri muda utaongea.
CHADEMA ni IMANI, imejengwa mioyoni mwa watu hivyo hata wakiondoa mamluki itazidi kuwa strong!Pia CHADEMA wawe makini kwani baadhi ya makamanda wanaweza kurubuniwa ili wahamie kambi ya ACT na SUKUMA GANG.