Uchaguzi 2025 itakuwa ni vita baina ya CHADEMA, CCM ya Samia na Muunganiko wa ACT Wazalendo na Sukuma Gang

Uchaguzi 2025 itakuwa ni vita baina ya CHADEMA, CCM ya Samia na Muunganiko wa ACT Wazalendo na Sukuma Gang

Hiki ndicho nachokiona na pia ndio nakisikia kwa habari za chini chini.

Hata hivyo, coalition ya SUKUMA GANG + ACT haiwezi kuwa na nguvu unless wangeihusisha CHADEMA, ila tatizo ni vigumu kwa SUKUMA GANG kuomba ushirikiano na CHADEMA kwa uhalifu waliofanya dhidi ya chama hiki wakati wa Mwendazake japo kwenye siasa wanasema hakuna adui wala rafiki wa kudumu.

Pia CHADEMA wawe makini kwani baadhi ya makamanda wanaweza kurubuniwa ili wahamie kambi ya ACT na SUKUMA GANG.

Wacha tusubiri muda utaongea.
NDUGU SS, Mawazo yako yana muelekeo, na ni kawaida ya siasa wakati wa uchaguzi zile timu za upinzani zenye nguvu na mtaji mdogo, huwa wanashirikiana. Uonavyo vinaweza tokea. Lakini wengi wanaona kuwa kutatokea mtafaruki mkubwa CHADEMA, kutokana na hii hali ya Mheshimiwa Mbowe na mambo yanavyo tendeka, na ikatokea pande moja ya Chadema wakaungana na ACT na kuwa chama kikubwa cha upimzani. SUKUMA Ganga kimesha sambaratika na wengi wao wesharudi nyumba kisirisiri tena bila mkia.
 
Hiki ndicho nachokiona na pia ndio nakisikia kwa habari za chini chini.

Hata hivyo, coalition ya SUKUMA GANG + ACT haiwezi kuwa na nguvu unless wangeihusisha CHADEMA, ila tatizo ni vigumu kwa SUKUMA GANG kuomba ushirikiano na CHADEMA kwa uhalifu waliofanya dhidi ya chama hiki wakati wa Mwendazake japo kwenye siasa wanasema hakuna adui wala rafiki wa kudumu.

Pia CHADEMA wawe makini kwani baadhi ya makamanda wanaweza kurubuniwa ili wahamie kambi ya ACT na SUKUMA GANG.

Wacha tusubiri muda utaongea.
Hivi kweli mnawaza kushiri uchaguzi 2025 bila muafaka wa suala la Katiba Mpya itakayoleta Tume Huru ya Uchaguzi??
Really?? Kuanzia 1995 hadi leo mnashiriki shiriki tu chaguzi zinazochafuliwa na ccm!!

NB: Kuweni serious japo kidogo!!
 
Maneno haya tangu enzi za Mrema. Bila plan CCM ni ataendelea kuwa kupe
ccm ndo Katiba ya nchi... zisipofanyika juhudi za maana kuiondoa ni wazi kuwa upinzani wasahau kushinda uchaguzi au kuwa na wabunge wengi!
 
Back
Top Bottom