Uchaguzi 2025 itakuwa ni vita baina ya CHADEMA, CCM ya Samia na Muunganiko wa ACT Wazalendo na Sukuma Gang

2025 ndo mpasuko halisi wa chadema utaenda kukamilika, majibu yote kwanini wale mabinti wapo bungeni ndo yatapatikana kipindi icho
 
2025 ndo mpasuko halisi wa chadema utaenda kukamilika, majibu yote kwanini wale mabinti wapo bungeni ndo yatapatikana kipindi icho
Ukikosa usingizi fumba macho jaribu tena kutafuta njozi nyingine
 
Hukusikia hili tangazo la Chadema?
Your browser is not able to display this video.
 
Umesahau kuwa kuna magoli ya mkono? Na wafungaji wa hayo magoli wameshapewa ulaji tayari?
 
Tutakao amua mpinzani gani apite ni ccm na tutaoamua chama gani kiwe mbadala ya chadema ni ccm.

Wewe endelea kujifariji badala ya kutafuta mstakabali wako kimaisha na kisiasa.
 
Kifupi sukuma gang ni mayatima. Hawana pakushika. Ccm hawarudi na chadema hawaendi. Wana option moja tu kwenda Kwa Lipumba au kubaki ACT

Sukuma gang hawawezi kwenda ACT ambayo imeshakiri hadharani kuunga mkono serikali ya Mama Samiah.
 
Tutakao amua mpinzani gani apite ni ccm na tutaoamua chama gani kiwe mbadala ya chadema ni ccm.

Wewe endelea kujifariji badala ya kutafuta mstakabali wako kimaisha na kisiasa.

Umejaa roho ya kiburi Kama vile wewe Ni mungu. Na hicho kiburi ndicho kitakacho waangusha.
 
2025 ndo mpasuko halisi wa chadema utaenda kukamilika, majibu yote kwanini wale mabinti wapo bungeni ndo yatapatikana kipindi icho

Hakuna Cha mpasuko Wala Nini. CHADEMA hakuna was kuipasua kabisa. We huoni mabinti wameachwa wenyewe hamna Kiki Tena wamekufa kisiasa. Slaa aliondoka, kitila na Zitto waliondoka hata halima mdee ameondoka mbona chama kinaendelea hakuna wakuzuia.
 
Pia CHADEMA wawe makini kwani baadhi ya makamanda wanaweza kurubuniwa ili wahamie kambi ya ACT na SUKUMA GANG[emoji1534].
 
Sukumagang ni Zaid ya robo Tatu ya wapiga kura wa Kanda ya ziwa na baadhi ya maeneo Sasa unasema hawana pa kushika wakati ni kura nyingi ninyi Chadema badala ya kuzitafuta hizo kura mnazikataa sawa sjui mtashindia Arusha, Kilimanjaro na Manyara macho yetu.
 
Hakuna Cha mpasuko Wala Nini. CHADEMA hakuna was kuipasua kabisa. We huoni mabinti wameachwa wenyewe hamna Kiki Tena wamekufa kisiasa. Slaa aliondoka, kitila na Zitto waliondoka hata halima mdee ameondoka mbona chama kinaendelea hakuna wakuzuia.

kwan CUF kimekufa?
 
Ukikosa usingizi fumba macho jaribu tena kutafuta njozi nyingine

kama ulikua na ndoto za uongozi hamia zambarau mapema, yanayoendelea msije kusema hamjaambiwa, nyie ni kama CUF tu saaahv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…