Uchaguzi 2025 itakuwa ni vita baina ya CHADEMA, CCM ya Samia na Muunganiko wa ACT Wazalendo na Sukuma Gang

NDUGU SS, Mawazo yako yana muelekeo, na ni kawaida ya siasa wakati wa uchaguzi zile timu za upinzani zenye nguvu na mtaji mdogo, huwa wanashirikiana. Uonavyo vinaweza tokea. Lakini wengi wanaona kuwa kutatokea mtafaruki mkubwa CHADEMA, kutokana na hii hali ya Mheshimiwa Mbowe na mambo yanavyo tendeka, na ikatokea pande moja ya Chadema wakaungana na ACT na kuwa chama kikubwa cha upimzani. SUKUMA Ganga kimesha sambaratika na wengi wao wesharudi nyumba kisirisiri tena bila mkia.
 
Hivi kweli mnawaza kushiri uchaguzi 2025 bila muafaka wa suala la Katiba Mpya itakayoleta Tume Huru ya Uchaguzi??
Really?? Kuanzia 1995 hadi leo mnashiriki shiriki tu chaguzi zinazochafuliwa na ccm!!

NB: Kuweni serious japo kidogo!!
 
Maneno haya tangu enzi za Mrema. Bila plan CCM ni ataendelea kuwa kupe
ccm ndo Katiba ya nchi... zisipofanyika juhudi za maana kuiondoa ni wazi kuwa upinzani wasahau kushinda uchaguzi au kuwa na wabunge wengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…