UCHAGUZI 2025: Nitapiga Kura na Kuilinda

UCHAGUZI 2025: Nitapiga Kura na Kuilinda

Uchaguzi wa 2025 napiga kura na Kuilinda kuhakikisha inatangazwa palepale kituoni.

#KataaWahuni
20230608_042750.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchaguzi wa 2025 napiga kura na Kuilinda kuhakikisha inatangazwa palepale kituoni.

#KataaWahuni
Unalinda kura ya nini wakati una imani na tume ya uchaguzi? Au unataka kuhatarisha amani ya nchi?
 
Uchaguzi wa 2025 napiga kura na Kuilinda kuhakikisha inatangazwa palepale kituoni.

#KataaWahuni
Nijuavyo mimi wakati wa uchaguzi tume ya uchaguzi huwa inatoa matokeo yote kituoni kwa kubandika fomu ya matokeo pale pale kituoni lakini haiwezi kutangaza mshindi hadi majumuisho ya kura zote kufanyika kufanyika ndipo inamtangaza mshindi. sasa sijui wewe unamaanisha kuwa utakua unalinda kura gani?
 
Tume inatekeleza majukumu yake kwa kufuata Sheria,Kanuni na Taratibu, hivyo hizo kura zinalindwa na na hizo sheria siku zote.Piga kura rudi nyumbani kaendelee na shughuli zako za kila siku.wewe ukilinda kura huyo WAKALA hapo kituoni kazi yake ni nini?
 
Una uhakika kura zikitangazwa hapo hapo kituoni hawawezi kuiba tena et?
 
Alichomaanisha ni kwamba, anza kushughulikia mambo muhimu kwanza! Kama ukipambana na kupata tume huru na ya haki HAUTAPOTEZA MUDA WAKO KULINDA KURA YAKO! Ukiachilia mbali tume, yapo mengi muhimu ya kushughulikia ili tuwe na uchaguzi mzuri mfano katib
ni kinyume na Sheria ya uchaguzi,utashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria. Tafuta mbadala wa hilo itasaidia Taifa.
lazima aelewe pia katika kituo cha kupigia kura kuna mawakala wa vyama vya siasa ambao wapo kisheria na wameteuliwa na vyama vyao vya siasa kwaajili ya kuwawakilisha mgombea wa chama chake siku ya uchaguzi.kama ni ulinzi wa kura wakala ndie mlinzi namba moja na si vinginevyo
 
Em acha kutuchosha wewe. Ulinzi wako umeukamilisha?Kapige kura kisha nenda ukatafute ugali wa wategemezi wako. Acha wakala wa chama chako ailinde kura yako na yake.
 
Back
Top Bottom