Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tume Iko Dodoma matokeo yako kijijini huku.
Mimi nadhani lamsingi saana uhamasishe watu kwanza wajitokeze kupiga kura halafu hayo mengine yaachie mawakala wetu ambao wameaminiwa na vyama vyetu vya siasa. Vinginevyo tutatafuta lawama na walinzi wa amani tu. Hakikisha unakadi ya Mpiga kura, na unajitokeza kupiga kura.Uchaguzi wa 2025 napiga kura na Kuilinda kuhakikisha inatangazwa palepale kituoni.
#KataaWahuni
Utailinda ili isiende wapi? Kwani ina miguu kiasi cha kuhofia itatoroka?Uchaguzi wa 2025 napiga kura na Kuilinda kuhakikisha inatangazwa palepale kituoni.
#KataaWahuni
Benki kuu iko Dar es salaam lakini huduma za kifedha zipo mpaka vitongojini mrah! Hata hapo kijijini kwako tools za wasimamizi wa shughuli zote za serikali na zisizo za serikali zipo!Tume Iko Dodoma matokeo yako kijijini huku.
ushawahi kupigwa ngoko zako hizo na kitako cha Sub machine Gun. 😀 😀 Mi nafikiri ungesema bila Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya hutapiga kura 2025 hapo ungekuwa umenena jambo la busara.Uchaguzi wa 2025 napiga kura na Kuilinda kuhakikisha inatangazwa palepale kituoni.
#KataaWahuni
Wabongo hatupendi kusoma na kuelewa taratibu zinazogovern issues. Na ndio tunapigwa hapo kwasababu ya uvivu wa kusoma na kuelewa mambo. Una wakala yupo kisheria wewe unakurupuka kusema unalinda kura. Utalinda vituo vingapi? Kwanza mwizi wa kuiba kura yukwapi?na wakala afanye kazi gani?
Azingatie Sheria na kanuni na maelekezo ya Uchaguzi. Wakala wa Chama chake cha Siasa kisheria, kikanuni na maelekezo ya uchaguzi ndiye anayetabulika kuhesabu, kujumlisga na Linda maslahi ya chama na mgombea wake.Uchaguzi wa 2025 napiga kura na Kuilinda kuhakikisha inatangazwa palepale kituoni.
#KataaWahuni
Wagombea wenyewe hawajiheshimu Wala kufuata utaratibu.Azingatie Sheria na kanuni na maelekezo ya Uchaguzi. Wakala wa Chama chake cha Siasa kisheria, kikanuni na maelekezo ya uchaguzi ndiye anayetabulika kuhesabu, kujumlisga na Linda maslahi ya chama na mgombea wake.
Wagombea wenyewe hawajiheshimu Wala kufuata utaratibu.
2025 mbali sana,Uchaguzi wa 2025 napiga kura na Kuilinda kuhakikisha inatangazwa palepale kituoni.
#KataaWahuni
Huu ujinga nilishaukataa, yaani nikae foleni nikupigie kura wewe ukale? Bora ule nikijua kabisa sikupiga kura.Uchaguzi wa 2025 napiga kura na Kuilinda kuhakikisha inatangazwa palepale kituoni.
#KataaWahuni