Uchaguzi BAWACHA: Majina ya waliorejesha fomu za kugombea uongozi haya hapa

Si kweli. Mbona uchaguzi wa mwenyekiti wa chama hakukua na neno kaimu.

Au wanaogopa usaliti mwingine ndo maana wameweka kaimu ili asipate madaraka yote kama mdee
Atakua kamili baada ya uchaguzi kuisha
 
Kwa hawa wanawake ni tofauti mwenyekiti atakaye chaguliwa awepo asiwepo atakua na madaraka nusu
Yaani kama Mbowe yuko Dubai kwa sasa Salumu Mwalimu ndio kaimu mwenyekiti wa Chadema haiitajiki uchaguzi katika hilo!
 
Si kweli. Mbona uchaguzi wa mwenyekiti wa chama hakukua na neno kaimu.

Au wanaogopa usaliti mwingine ndo maana wameweka kaimu ili asipate madaraka yote kama mdee
Hapana sivyo unavyofikiri
 
Atakua kamili baada ya uchaguzi kuisha
Hapo mleta taarifa anaonyesha hujui au amechanganya kati ya Naibu na Kaimu.

Huwezi kuchagua mtu kwa ajili ya kukaimu nafasi fulani. Atakayechaguliwa hapo atakuwa Naibu na wala siyo Kaimu.
 
Vyeo:
KAIMU Mwenyekiti na KAIMU MAKAMU Mwenyekiti. Then Katibu Mkuu na NAIBU Katibu Mkuu

Na hii ni kwa mujibu wa Katiba ya Chama🙂
 
Hiki chama kina vituko, Sasa nafasi ya kaimu toka lini ikafanyiwa uchaguzi?
 
Kwa sababu kesi ipo mahakamani, wametumia busara
Maana ya neno kaimu ni kushika nafasi ya mtu hadi pale nafasi hiyo itakapojazwa rasmi. Nimefikiria pia hapo ila labda ndivyo katiba inasema hatujui.
 
Hapana utulivu pale,full kuoigana vikumbo.na kupayuka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…