Uchaguzi CHADEMA: Anthony Komu ataka Mbowe apishe uenyekiti

SautiYaMnyonge

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2018
Posts
439
Reaction score
742
Uchaguzi wa ndani CHADEMA

Wabunge na Mameya CHADEMA wamuunga mkono Mbunge wa jimbo la Ndanda Mhe Cecil David Mwambe kuchukua fomu ya uenyekiti wa CHADEMA taifa kumrithi Mbowe.

Kwa taarifa kutoka moja ya wabunge wanaomuunga mkono anasema wamemchangia shilingi milioni 25.

Anasema katika kikao hicho kilichoongozwa na Mbunge wa jimbo la Moshi Vijijini Mhe Anthony Momu ni meya mmoja tu aliyekataa kuchangia ambaye ni Mhe Boniface Jacob Meya wa Manispaa ya Ubungo ambaye alilazimika kutoka kikaoni na kuondoka.

Mhe Mwambe anaungwa mkono na idadi kubwa ya wabunge, wenyeviti wa Halmashauri na Mameya pamoja na viongozi wa kanda 5 walioamua kusimama naye.


 
Huyo bwana anayetaka uwenyekiti ni mtu wa character gani na ana mkakati gani kupambana na huu udikteta uliyotamalaki asijekuwa another Cheyo, Mrema au Lipumba.

Nina mashaka naye sana. Ccm kuua vyama makini vya upinzani ni muhimu kuliko hata hizo White Elephants wanazohubiri.
 
Reactions: Qwy
Mimi si mwana chadema ila ninapenda sana pawe na chama cha mawazo mbadala kwa checks and balance.Endapo wanaona Cecil anafaa kukabiliana na sisa za JPM wampe. Japo binafsi sikumbuki hata sentesi yake moja ama sauti yake ama picha yake katika kutetea democrasia na maendeleo ya Taifa letu.
 
Kwa udikiteita wa Jiwe kuua upinzani, hakuna kutoka Mbowe! Wakilogwa,CDMimekufa. Sioni wa kufilisiwa mali zake kama Mbowe akasimama ma Chadema, wataunga juhudi!
kwa hiyo mwenyekiti mbowe ameshindwa kumtengeneza mtu atayerithi mikoba mwenye uwezo wa kusimama bold kama yeye ?
 
Wazo la kuwa na mwenyekiti mpya siyo baya ila siyo huyo pandikizi la jiwe, huyo big NO.
 
Komu ametumwa ili ionekane kuna ushindani ndani ya chadema lakini kiukweli wote walishaamua mbowe awe mwenyekiti wa maisha

State agent
Tuliza kishundu wacha wanaume tufanye yetu, nguruwe hawaruhusiwi kujadili mambo yetu.
 
Hao ndiyo walikuja na upepo wa Lowasa.
 
Acha upoyoyo sema unataka kuona chadema inafutika,mimi sio chadema but mbowe angekuwa kama akina lupumba chama kingekuwa kimisha kufa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Komu ametumwa ili ionekane kuna ushindani ndani ya chadema lakini kiukweli wote walishaamua mbowe awe mwenyekiti wa maisha

State agent
Nadhani ni salama zaidi akibaki Mwenyekiti kuliko maana ni heri mmeliyezoea kumuonea kuliko mpya msiyemjua asiyekubali kuonewa.
 
Komu si aliambiwa akome?
 
Acha upoyoyo sema unataka kuona chadema inafutika,mimi sio chadema but mbowe angekuwa kama akina lupumba chama kingekuwa kimisha kufa.
Kitakufaje chama Cha baba mkwe..hahahaha...kikifa chama na yeye afe macho..hayo ndio maagizo.na makubaliano.wanasema ni Bora akiona kuelekea kufa akigeuze fasta iwe saccos..
 

Ukiona mwenyekiti wa Chadema anaepigwa vita sana na CCM ,huyo huyo ndio tunamchagua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…